Msaada plz...hackers wamenikamata na sasa nimetumiwa bill ya malipo???

Leornado

JF-Expert Member
Nov 12, 2010
1,529
196
Jamani mwenzenu nimetumiwa bill ikinitaarifu kulipia huduma ya kudownload ambayo siifahamu wala sijawahi kuitumia. Sielewi jina langu na adress yangu wameipata wapi.

Nilidhani mchezo sasa naona barua zimezidi na maonyo kibao wakitishia kunishtaki hadi nakosa amani.

Je kuna mtu anawaelewa hawa matapeli wa kwenye net?? sijui niende polisi au nifanyeje. Sijawahi kuingia nao mkataba wa aina yoyote ile.

Plz nisaidieni.Nimepewa siku saba za kulipia.
 
Zichunie tu hizo e-mail wanajaribu kukutisha ili utume hela. Kama unaweza pia zi copy/paste hapa tuone vizuri, ila futa jina lako na address.
 
Kuna watu mmejaaliwa woga kweli kweli au nacho nikipaji ?
andaaa na wewe bill zako uwatumie double the price...
 
Piaa kama unaweza jaribu kusoma email headers ujue zinatoka source yenye ip adress gani?

google neno email header analyser . Then tumia tool mojawapo utayopata. Unaweza kucopy header ya hiyo email ujue source halisi ya watu hao kama ni winegeria au ni "wanigeria wa kibongo" teh teh

Jarubu kucheki na hizi video . Inaweza iskupe jibu sahihii lakini itakupa mwanga. Inawezekana waliokutumia wala hawakujui hata kwa jina wala ISP wako.
 
Last edited by a moderator:
Nawatahadharisha sana kwa wale mnaotembelea Schengen Countries, plz be careful na hawa watu.
 
Wakuu kampuni yenyewe ni hii hapa.

Content 4 You LTD.
Heiligenstädterstraße 32 / 306
1190 Wien
Österreich

Dienstleistungen in der automatischen Datenverarbeitung und Informationstechnik

selbstständige Zweigniederlassung der
Content 4 You LTD.
389 Nether Street
Finchley
London N3 1JN
United Kingdom
Company No. 06559497
Director: Peter Stark

hiyo ni adress, wamesambaa sana.
 
huna haja ya kulipa bill.....hapahapa JF kwenye jukwaa la wakubwa kuna kila kitu unachohitaji....tumia huduma ya bure.
 
Hiyo bill ni kwa service ipi? What have you been downloading?

Search on company house inaonyesha wrong information for said company
WebCHeck - Select and Access Company Information

Company registered in Essex, but your address is in London, even though this can be a correspondence address entry, I don't think it is a kosha company.
Report them to the police if you continue to get emails, for one, your entry shows non-english communication my guess German. a scam in play. Company shown to be in process of being stricken off, ladba wanajua this is the opportunity to collect as much as possible, kwani when they are declared as stricken off, no recourse to funds can be made against them.

Hayo maneno ya kati in german translates to
Dienstleistungen in der automatischen Datenverarbeitung und Informationstechnik
selbstständige Zweigniederlassung der

Services in automatic data processing and information technology branch of the independent
and the initial address at the top is in Austira (Österreich). In the company search I did shown above as a link, the said UK company has no associated partners abroad, hence don't see why a company with same name in Austria is requesting payment for a similar company in UK.
 
Hii kampuni hewa nadhani ipo karibu kila nchi hasa UE. Nimeshatumiwa e mail zaidi ya nne nikajua utani, jana nimetumiwa barua na vitisho juu.

Unanishauri niende polisi, sitaharibu mambo?? Sikumbuki kudownload service yao wala kuingia mkataba nao...nipo njia panda.

Hili la barua personally limenitisha.
 
Unaogopa nini sasa kama haujaingia mkataba wowote, bonyeza button ya spam kwenye email yako wasahau hao. Wezi tu.
 
Hii kampuni hewa nadhani ipo karibu kila nchi hasa UE. Nimeshatumiwa e mail zaidi ya nne nikajua utani, jana nimetumiwa barua na vitisho juu.

Unanishauri niende polisi, sitaharibu mambo?? Sikumbuki kudownload service yao wala kuingia mkataba nao...nipo njia panda.

Hili la barua personally limenitisha.

Zingatia ushauri wa kotinkarwak. Nasisitiza Uende Polisi utoe taarifa kuwa kuna matapeli wanakutishia na wanataka kukuibia. Polisi watakupa Number au RB namba na ukae nayo halafu unyamaze. Wanapokutumia messges zidharau kwa sababu hawana physical address yako na hata simu kwa hiyo hawataweza kukupata. Iwapo watajitokeza basi itakuwa rahisi kuwanasa maana Polisi watakuwa wanalifahamu jambo hilo. Uwe na amani. Ubarikiwe sana.
 
Nawatahadharisha sana kwa wale mnaotembelea Schengen Countries, plz be careful na hawa watu.

Vipi mkuu wamekuliza tayari. Maana kama kweli ukiwa mtu wa kudowload madude ukipata email kama hii unaweza kupata woga.

Dawa yake wajibu waambie kwa sasa uko london ini kwenda london so wakupe adreess kamili uwatafute .Au waambie wakupe simu zao.
Wakigoma kutoa simu hiyo sio ofisi halali.

Ndio maana napenda kuangalia video za vya Forensic na CSI. Wasanii kama hawa unapelekana nao mapaka wanaju wamekosea njia
 
Back
Top Bottom