Msaada plz.. Adobe flash, dream weaver, fireworks

Mantz

Member
Aug 6, 2009
97
30
Naomba mniambie niwapi nitapata kujifunza hizo program. Nipo Dar es Salaam. Ahsanteni.
 
If you can pay me will teach you, am in Zanzibar but it is possible over net.
I used Adobe Dreamweaver CS3 for this page Hermitscorp Laboratory and Adobe Flash CS3 for page Contents
 
Google and get tutorials online plz. Nimejifunza hivi hivi kutumia softwares za adobe sina hakika kama utapata chuo cha kukusaidia bongo!
 
Naomba mniambie niwapi nitapata kujifunza hizo program. Nipo Dar es Salaam. Ahsanteni.

Kama una bandwisth na netwok nzuri dowload video tutorial za Lynda.com.. Hawa jamaa training zao zinanisaidia kama alivyosema kaa la moto na Givenality (DIY)

I.
Kuna baandhi ya video zao free zipo kwenye website yao Software training online-tutorials for Adobe, Microsoft, Apple & more
eg flash Flash Catalyst CS5 Tutorials | Essential Training


II.
Kuna nyingine watu wameziweka Youtube kwenye search box andika lynda.com utapata tutorial zao kibao
eg Dreamweaver CS5



III
Test ukitaka kupata quality video DVD zao nenda kwenye torrent site mfano The Pirate Bay - The world's most resilient bittorrent site. Hapo unaweza kupata hata vitabu

But kama unataka enviroment ya kusoma kwenye formal class basi nenda trainining college kama
Learn IT na IIT au chukua mtaalam kama huyo mazd
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom