Msaada pls!!

Pretty

JF-Expert Member
Mar 19, 2009
2,575
552
-----Ninaulizia Jacksi Plaza nimeambiwa ipo nyerere road.Anayejua tafadhali anielekeze ipo eneo gani na imepakana na jengo lipi.Najaribu kusearch google ili nione ipo eneo gani sioni.
Tafadhali anayejua anifahamishe hiyo Jacksi plaza ipo eneo gani ukitokea tazara.

Mods liache hili bandiko kwa muda hapa, maana nafahamu si eneo lake.
 
Back
Top Bottom