msaada pls

mojoki

JF-Expert Member
Oct 21, 2010
1,314
290
unawezaje kuijua cheni au pete kama ni ya silver kwel au ni tango pori...mwenye utaalamu pls msaada unahitajika
 
Ujanja wa silver kamulia ndimu kisha piga kibiriti, kama silver kweli inabaki pale pale!! kama shaba na vyuma vya kupaka lazima mwenye kukuuzia aseme umemuaharibia!! ukiona hujaridhika sogea ukutani kandamiza kisha sogeza few sentimeter itajibu tu!! the same with gold!! kuna njia nyingi, hii tu ni ile kama umekutana na mtu barabarani huitaji vifaa. otherwise kama umevizoea hivi vitu macho tu yanatosha!!! ngoja waje mafundi humu tupate ufafanuzi zaidi
 
kwa silver,chukua plain paper nyeupe,then jaribu kuisugua kwenye hiyo karatasi,itaandika muandiko mithili ya penseli,ukitaka kujua kama ni silver ukiandika juu ya ulichokiandika kabla haita-overwrite,kama ikiandika juu ya hicho ulichoandika basi siyo silver......another way ni kuitumbukiza kwenye sulphuric acid isiyo very concentrated,kama ni silver ukweli baada ya kuitumbukiza kwa dakika chache itachemka kdg then itatulia na itakua inang'aa,kama ni mdosho itachemka tu na baada ya kuitoa itakua imepauka,,,,huu ndio ujuzi wangu,maoni mengine?
 
Back
Top Bottom