Msaada pliz

CLONEY

Senior Member
Apr 3, 2012
104
29
Habari zenu,mi naomba kwa yeyote mwenye utaalamu na compressor anaisaidie,friji yangu imeharibika hiyo copmpressor sasa mafundi wameniambia zipo used na mpya je ninunue ipi tafadhali nisaidieni.
 
Habari zenu,mi naomba kwa yeyote mwenye utaalamu na compressor anaisaidie,friji yangu imeharibika hiyo copmpressor sasa mafundi wameniambia zipo used na mpya je ninunue ipi tafadhali nisaidieni.

itakuwa ni balaa zaidi kama mafundi ulioongea nao wapo jf, maana maoni yatakuwa yale yale. Mimi nimewahi kununua used na mpaka sasa nahisi body itaoza huku machine inapiga kazi (natoa angalizo kuwa si mtaalam wa hii kitu)
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom