MSAADA PLIZ : Range Rover P38 imelock engine!!

sijui nini

JF-Expert Member
Sep 29, 2010
2,553
1,285
tukiwa njiani tunaelekea kusini mwa tanzania maeneno ya moro ndani ya range rover hii mara ikapata pancha tairi ya nyuma (mzinga) na gari ikazima hapo hapo....tumefix tairi bau gari haiwaki kabisa....ingine imelock! nimejaribu kucheck sana online juu ya hili sanasana wanadai option ni lazima nipate Emergency Key Access (EKA) code ambayo ndo nitaweza ku unlock hii gari...jinsi yenyewe ya kuipata hiyo code ni shughuli na mda ndo kama hivi, pliz kwa wataalam wa mambo ya magari haya antupe msaada maana tumekwama....afu tatizo lingine hii gari ina accelerate taratibu sana inapoanza kuondoka hata ukanyage mafuta vipi...sijui tatizo ni nini!??
 
Inawezekana umelock Ukaingia antbulgrary mode. Press remote

shikilia for second then wash gari .
 
Inawezekana umelock Ukaingia antbulgrary mode. Press remote

shikilia for second then wash gari .
mkuu....yaani ilivyopiga mzinga tu ikazima yenyewe na ku de accelerate mpaka ikasimama....from there, haiwaki!! nimejaribu hivyo bila mafanikio....
 
Au jaribu pia hivi .".......press the internal central locking switch on the roof panel (in front of the rear view mirror) for about 10 seconds until you hear 2 very distinct clunks in the doors. Then point the key upwards towards the sensor and press the key button twice......Your central locking should now be reset
 
shukrani mkuu...kuna jamaa alipigiwa simu hapa from moro town ndo ameingia kacheza nayo imewaka sasa ndo tunaondoka ten,,but acceleration ishu bado ni vile vile....yaan it takes so loooong to accelerate!! anything wrong...
 
Pole sana Mkuu. Angalia air cleaner pamoja na breather pipe. Kama hewa Haitoshi itapoteza power na mafuta Itakunywa kwa Kwenda mbele
 
Inawezekana nozzle ni chafu itabidi uoshe..au plugs pia umebadilisha lini?..silencer yake ipo sawa au inapanda na kushuka yenyewe?
 
Tafuta mtu mwenye mwenye machine ya scaning aifanyie scaning ujuwe tatizo liko wapi. Usikubali fundi asie na kifaa hicho ataharibu vitu vingi zaidi. Na ukirudi mjini ufanye mpango uwe na scaning tool ya kwako. Magari ya kisasa si ya kutengeneza kwa kupiga malesi mkuu. Hiyo itakufanya kufahamu matatizo ya gari lako yote na kama umeweka mafuta machafu litasema na hadi tarehe lilipopata tatizo.
 
asanteni wakuu, ntafanyia kazi yote mliyonipa...ki ukweli mimi si mtaalam sana wa magari (this is the first car) but ntajitahid!! thanks guyz..
 
mkuu unataka kumpa pressure bure anunue scaning tools ya kwake waijua bei yake??

Matatizo ya gari siku zote yanafanana mkuu ??

Kuna matatizo mengine hayahitaji scaning tools.Hizi mashine zimekuja kutuletea mafundi wazembe wazembe..

 
asanteni wakuu, ntafanyia kazi yote mliyonipa...ki ukweli mimi si mtaalam sana wa magari (this is the first car) but ntajitahid!! thanks guyz..

mkuu usiwe na pressure sana hiyo ni ishu ndogo sana mkuu.Kuhusu hiyo ishu ya kuto accerelate cheki pressure ya pump,nozzele ikiwezekana zifunguwe na zisafishe.
Kagua air flow sensor,vaccum sensor, throttle sensor na icheck pia au adjast accereleter positio sensor.

Kama utashindwa ni pm mkuu
 
Back
Top Bottom