msaada please

ni vizuri mtu akuambie mwenyewe kuliko uje usikie kwa watu baki,

kwani Joy wewe unataka kujua katembea /list na nani na nai ili iweje? cha muhimu ni kupima afya zenu mambo yasonge! kwasasa yupo na wewe hayo ya past muachie mwenyewe.
 
Si ndo hapo Nyamayao mi nimemwambia yeye anasema bora ajue list ya walio mtangulia akijua si atakuwa anaumia ndo maana waswahili wanasema ukimchunguza kuku huwezi kula nyama yake.
 
Hakika hii kitu inashangaza sana. Ngoja niwaambie ukweli wangu mimi, mi nilikutana na mpenzi (mtoto wa Kinyakyusa) haki nakuambia within 4 months baada ya kujuana nilienda kwetu ukerewe kuwaambia wazazi nimepata mchumba na tukaoana after 6 months. Hata sisi mpaka leo tunashangaanaga maana hatukuchunguzana kwa muda mrefu.

Therefore the longer you stay the higher the risk of loosing.
 
hehehehe najua ulicho pendea hapo siri yetu mkuu
 
si ndo hapo nyamayao mi nimemwambia yeye anasema bora ajue list ya walio mtangulia akijua si atakuwa anaumia ndo maana waswahili wanasema ukimchunguza kuku huwezi kula nyama yake.

mimi wala sitaki kujua haya yote kama akitaka kuniamabia kwa ridhaa yake sawa
 
Back
Top Bottom