Msaada please, ni dawa gani inafaa kupaka wakati wa tendo linalohusisha tigo?

Kingcobra

JF-Expert Member
Jan 28, 2011
1,000
309
Msaada tu jamani. Naomba msinishambulie sana. Kuna rafiki yangu nataka nimsaidie ili kumwepusha na madhara ya kutumia hiyo kitu haramu. Yeye ni mwanaume. Anataka ampake partner wake.
 
mwambie apake kinyesi cha mbuzi
Kama 'umeamka nazo' ni vizuri usubiri unywe kongolo ndipo uchangie humu jamvini. Vinginevyo, subiri wataalam wamwage utaalam wao humu.

Mimi sijui ni dawa gani lakini kwenye mikanda ya ngono utaona jamaa wanapaka kabla mechi haijaanza. Nadhani huwa inarahisisha tendo kwa mwanamke na kuondoa uwezekano wa mwanaume kupata madhara ya kiafya.
 
Upo wapi wewe? Popote ulipo nenda mitaa wanayopatikana malaya kawaulize swali lako watakupa jibu muafaka na hata ukitaka practical utafanya hapo hapo baada ya theory kukamilika. Umeelewa wewe?
 
Acheni kumzingua! We chukua hot-pepper twanga, changanya na,maji,paka. Ukiwa bado na meno, vunja mifupa!
 
Mwambie aweke kigunzi na supa glue.mwisho wa matatizo
 
Twanga kitungu thumu changanya na juisi ya black pepper pakaen hapo mtakuwa MMEUFURAHIA vilivyo huo UFIRA UNI wenu
 
.,.,.simpo tu. Tumia grisi au mafuta ya cherehani.

Upuuzi mwingine.
 
hiyo nilaana. hata ukichomeka kisu chini ukaanza kufanya huo ufirauni wako, kisu kita chomoka na kudondoka chini. ww mtu gani bado unafanya machukizo amboyo allah sub hnna wa taalla hataki?
 
Msaada tu jamani. Naomba msinishambulie sana. Kuna rafiki yangu nataka nimsaidie ili kumwepusha na madhara ya kutumia hiyo kitu haramu. Yeye ni mwanaume. Anataka ampake partner wake.

Mwambie atumie diesel oil ile ndio inafaa sana na inahimili msuguano.
 
Mwambie atumie diesel oil ile ndio inafaa sana na inahimili msuguano.

Ni vyema kumjibu tu jibu la uhakika,ngono ya tigo inata utaalamu na matumizi ya vilainisho,nakushauri tumia KY ni nyuri sana au mafuta yoyote ambayo ni water based.Kamwe usitumie petrolieum jelly kabisa kwani yanaharibu kuta ya rectum,pia mara yote tumieni kondom na kabla ya tendo mwambie mwenzio afanze enema kwanza.Kwa maelezo ya ziada nipm
 
paka mate..tena ukiwa umelewa taska sinajua ate yake yamavokuwa mazito asi yale ndo makini
 
Back
Top Bottom