Msaada please: Naomba mwenye data au info zifuatazo anisaidie....

SnowBall

JF-Expert Member
Sep 13, 2011
3,054
2,840
Wadau samahanini na nadhani hamjambo..
Ninaomba kama kuna mtu aliwahi kufanya research/thesis inayohusu 'implication of education to youth's political engagement' au pia kama ana idea na haya mambo anisadie data/info zozote alizonazo kwenye upande wa education hususani za hapa bongo...au unaweza kunipa links'
Natanguliza ahsante....
Unaweza kuniPM au kudondosha kwenye makadeo@rocketmail.com
 
Nenda library yoyote especial academic library kuna a lot of thesis including hilo unalolihitaji.

Nchi niliopo maktaba zimejaa vitabu vya lugha ya hapa ambayo sio kiingereza na materials ninayotaka mimi ni country specific..i mean nahitaji ya Tanzania!!
 
Nchi niliopo maktaba zimejaa vitabu vya lugha ya hapa ambayo sio kiingereza na materials ninayotaka mimi ni country specific..i mean nahitaji ya Tanzania!!

For my experince ukiwa unafanya reserch you have to move different places in order to get data sasa wewe endelea kusema sehemu niliyopo hakuna thesis inayoelezea specific country especial Tanzania till when.
 
Nadhani tunashindwa kuelewana...ninachosema mimi ni kwamba sijaanza research..ila ndio niko kwenye kuchagua topic..so, nilitaka kama kuna mtu alifanyia hizo mambo anielekeze au tushee baadhi ya secondary data/info au anPm ntamueleza kwa kirefu....sasa sijui usichoelewa ni nini hapo??..Kama ntakosa kabisa basi ntaangalia mpango mwingine...
 
Me nimekuelewa sana ila watu wengi huwa hawapendi kuambiwa ukweli sijui ni kwa nini hata kama ni proposal kwani hauwezi kumove hizo sehemu niliokuelekeza ukapa data sasa unatafuta mtu wa kushare nae ideas for what purpose?
 
Back
Top Bottom