Msaada Please, kwa mtu mzima korodani kuwa ndogo kunasababishwa na nini?

Gosbertgoodluck

JF-Expert Member
Mar 3, 2008
2,855
401
Ndiyo hivyo wazee,
Kuna jamaa yangu ameniuliza nimeshindwa kumjibu. Ana korodani ndogo sana kwa size ingawa ameoa na ana watoto wawili. Tunapokwenda beach kuwa anajisikia hata aibu kubaki na nguo ya ndani kwani ni kama hamna kitu ndani tofauti na sisi wenzie tuliofungasha mizigo. Au jamaa 'kapiga' sana game kiadi cha kupungua mzigo ambao ndiyo kiwanda cha shahawa?
 
Duh!
Nyie vijana nyie!! Mnaangaliana hadi korodani??
No wonder cameroon ana-express interest na upande wenu wa nyuma.
 
Hii nchi hatutaweza kuijenga. Tuko busy sana na mambo yasiyo rasmi. Kuoga hadharani! What for?
 
Hii nchi hatutaweza kuijenga. Tuko busy sana na mambo yasiyo rasmi. Kuoga hadharani! What for?

Kweli Ndahani uko sahihi. Juu ya nini mkaoge hadharani watu wazima wenye familia.

Ila kwa wewe mwenye korodani ndogo, nikuhakikishie sio tatizo. Korodani zikiwa kubwa sana ni tatizo nalo sio la kumfanya mtu awe na wasi wasi. Mara nyingine husababishwa na joto la mwili wako korodani kuwa kubwa. Kwa hiyo acha niconclude kuwa, udogo wa korodani zake unasababishwa na yeye kuwa na joto dodo maeneo hayo kwa hiyo zinakimbilia juu kuadapt joyo la mwili. Hiyo haimzuii kuzaa wala kufanya huo mchezo mnaoupenda kiasi mko bize saaaana na maeneo hayo.
 
Shukrani.
 
Kama anatotolesha fresh, na anampa wife ile kitu roho inapenda haina haja ya yeye kusaula hadharani!!
 
oh oh oh, nakuonea huruma, maana nna jamaa angu zilianza ivyo mpaka saivi pamekua kama pa demu!
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom