msaada, picha na videos hazionekani in my gallery..natumia nokia5235

Skillseeker

JF-Expert Member
Jan 30, 2012
225
34
habari za kwenu,
Naomba msaada, nimeingia kwenye gallery yangu nikaenda kwenye folder la kuwekea picha na video nakuta liko empy kabisaa.. hii ni mara ya pili inanitokea..mara ya kwanza ilivyotokea memory card yangu ilikuwa almost full so nikapunguza vitu. leo imetokea tena na nina 1.2GB free in my memory card.sasa sijui tatizo ni nini hapa?...naombeni msaada wenu jamani...
 
Back up stuffs zako important, lets say contacts zako and ur memory card stuffs!! then format ur whole phone memory. reinstall ur stuffs after formating!!!
 
habari za kwenu,
Naomba msaada, nimeingia kwenye gallery yangu nikaenda kwenye folder la kuwekea picha na video nakuta liko empy kabisaa.. hii ni mara ya pili inanitokea..mara ya kwanza ilivyotokea memory card yangu ilikuwa almost full so nikapunguza vitu. leo imetokea tena na nina 1.2GB free in my memory card.sasa sijui tatizo ni nini hapa?...naombeni msaada wenu jamani...

Umejaribu kurestart simu? Sometime ni mmc imekaa vibaya tu.
 
yes.nimerestart simu lakini bado..Hii mmc ni kitu gani mkuu?..alafu natumia xplore(nimeiweka juzijuzi tu) lakini nashindwa kuona system files..i can only see system folders but nikiopen kama sitakutana na folder jingine basi hilo folder halifunguki..sasa how can I see the mmc...Hapa naulizia mmc ili niweze kujua ile njia ya kujua password yako ya memory card. Naomba unisaidie Chief_Mkwawa
 
Dah kama folder zipo then mafile hamna hio ni kesi nyengine that mean mafile yameliwa i think ni virusi
 
sasa kama mafile yote yameliwa mbona simu inafunction vizuri tu?..naweza kuistall na kuuninstall application, naweza kubrowse alafu pia ingawa kwenye gallery sioni hizo video na picha nikienda kwenye file manager kufungua memory card yangu picha na video zote ambazo hazionekani naziona na sio kwamba zimeliwa na virus.. natumia kaspersky9 sema ni trial version soon inaisha
 
We ulinambia waona folders mafile ndo huon, basi katika kuchezea kspersky umeblock all files try njia hizi

Kwanza nenda music click refresh angalia kama miziki itajiadd

If not nenda kaspersky menu scrol righ side hadi ukute sehemu ya kumanage files try kuchange kama kuna sehemu haifany kaz

Pili: kama njia ya kwanza inakataa download players kama vile coreplayer ambayo ina uwezo wa kuplay video, sound na picha
 
Back
Top Bottom