Msaada: PC Tools Spyware Doctor.

Mrimi

JF-Expert Member
Jul 18, 2011
1,691
633
Wakuu haka kaantivirus kanaonekana ni kazuri, nimekadownload kwenye torrent mara mbili ila keys zinazoambatana na program nikijaribu kuziingiza isema invalid user name or serial number.

Nimedownload edition ya 2011 zenye user names na serial numbers tofauti lakini zote hazifanyi kazi. So, kama kuna mmoja wetu hapa anayetumia kitu hii au ana namna anaweza kunisaidia, naomba msaada huo.

Nawasilisha.......
 
Duh, wakuu hi kitu imekaa kichina nini?
Mbona watu mnapita kimya kimya?
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom