msaada on washing machines

snochet

JF-Expert Member
Mar 31, 2011
1,407
1,110
hallo,naomba niulize ivi ni brand gani ya washing machine ni nzuri na ninaweza nikaipata hapa tz kwa bei poa?na je ni nini nitahitaji kujua kabla ya kununua?ahsanteni
 
dont be bothered by brand name while buying a washing machine most of the doing just fine. what you need to know is your preference. but here are some hints.
- kg ambazo machine inaweza ku support at once. ie unataka ufue nguo nyingi kwa wakati au vyenginevyo.
- front or up loading. ie nguo upitishie kwa juu au kwa mbele.- zile unazopitisha nguo kwa juu zinaaminika ni nzuri zaidi ya zile unazoweka kwa mbele.
- automatic au manual, zipo automatic ambazo zikimaliza kujiosha zinachange mode na kujisuuza, na zipo ambazo inabidi ubadilishe fro. one chamber to another wewe mwenyewe. automatic ni nzuri zaid
- energy consumption, machine nying za automatic na up loader zinatumia umeme mdogo kuliko nyenginezo. ila ikiwa umeme si tatizo kwako you can make your own choice.
- size, jee una nafasi ya saizi gani kuweka hiyo machine small space need simple small machine.

na mengineyo mengi....
 
Back
Top Bottom