Msaada on how to Upgrading from 1.5.3 to 1.5.6 joomla

ThinkPad

JF-Expert Member
Apr 11, 2008
1,844
232
Jamani kama kuna mtu aliye fanikisha zoezi la ku-upgrade from 1.5.x to 1.5.6 naomba anisaidie maana nimekwama nilivyo soma documents zao hao joomla ni process moja ambayo ngumu alafu inajichanganya yaani inakuwa ngumu kutoboa naomba msaada kama kuna mjanja aliye toboa hiyo issue aniambie alitumia ujanja gani mimi imeniwia ngumu ndio maana nikaona niilete hapa mezani tusaidiane maana nimekaliwa kooni hapa na huyu BO$$ anasema mpaka kieleweke. :confused:
 
Mambo vipi THANKPAD mzima kabisa kwa ujumla??Ok nadhani kama ulivyosema hapo juu kwamba ni vigumu sana kuweza kubadilisha ni kweli vigumu sana ila zaidi nadhani ukifatilia forum ya joomla kuna details nyingi sana ambazo utaweza kusolve problem yako....Pia mimi kwa kweli hicho kitu sikiwezi kufanya maana ni njia ndefu sana ila zaidi kama unania ya kubadilisha naweza nikakupa contact za mtu yeye yupo USA mweleze tatizo lako na ataweza kukutatulia zaidi kama unataka maelezo ni PM mimi nitakusaidia zaidi
Pamoja
 
Heshima mkuu,Mimi sijambo niko fit,Kwenye forum yao wameandika sana lkn mimi nilivyoona inatakiwa watu tunaotumia joomla tu-upgrade web zetu hizo upgrade zina based sana ktk security issue lkn watuwengine wametoa code furani ambazo zinawea kuwekwa na ikawa ina security nzuri tu,
poa ngoja niku pm tuone itakuwa vipi maana hawa jamaa wa joomla wame complicate mambo yao kiasi flani.
thanks for ur post.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom