msaada on how to unlock new vodacom usb modem e173

modem yangu ni K3571-Z nimejaribu joinair inakubalikutambua mitandao mingine lakini cio kuconnect internet IMEI:359591035021323
 
wakuu nisaidiani kutumia line zote ninamodem ya tigo inaniletea umasikini sana......msaada tafadhali
 
Wakuu habarini za weekend,
Nimenunua modem ya Vodacom e173 nataka kuichakachua kwa matumizi ya mitandao mingine

Nimejaribu kusearch humu JF sijakutana na hii kitu

So please mwenye maujanja atusaidie hapa


Hi unaweza kwa urahisi kufungua e173 yako huawei Modem kwa kutumia code kufungua. Kama unahitaji kufungua code unaweza kutembelea tovuti hii Theunlockspot.com hapa unaweza kupata kanuni kufungua na kufungua e173 yako huawei Modem.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom