msaada on how to unlock new vodacom usb modem e173

Mayu

JF-Expert Member
May 11, 2010
6,632
10,709
Wakuu habarini za weekend,
Nimenunua modem ya Vodacom e173 nataka kuichakachua kwa matumizi ya mitandao mingine

Nimejaribu kusearch humu JF sijakutana na hii kitu

So please mwenye maujanja atusaidie hapa
 
do! kwanini mnapenda bure? mimi naamini bure inaongeza umaskini kwa kuwa kila siku unaweza usifikirie utapataje pesa kihalali na unaangalia gaps za bure. kama hiyo haitoshi sina uhakika kama mtu huyu anayependa bure sana anaweza kumlipa mfanya kazi wake vizuri kwa kipato anacho mwingizia
 
Mkuu, hii mitandao inatuibia sana tena sana!! Na sisi inabidi tuiibie.
 
do! kwanini mnapenda bure? mimi naamini bure inaongeza umaskini kwa kuwa kila siku unaweza usifikirie utapataje pesa kihalali na unaangalia gaps za bure. kama hiyo haitoshi sina uhakika kama mtu huyu anayependa bure sana anaweza kumlipa mfanya kazi wake vizuri kwa kipato anacho mwingizia

Mkuu unajua unachokiongea lakini? Au ndio ile kule umachi noo

Nani anaongelea bure hapa, nimekwenda voda shop nikatoa pesa yangu kununua modem, na sasa nataka kuitoa lock niwe flexible kutumia mtandao wowote wewe unaita bure

Kuchakachua modem hakuna maana uitumie bure mkuu, kunamaana ya kufanya modem yake kutumia sim card tofauti tu na ukiwa umenunua bundle halali
 
najua hyo modem yako inaweza ikawa ya huawei au zte na prog ya kuunlock modem zote hpo sema kuattach inagoma xo kama vp unaweza put ur IMEI na ntakupa unlocking codes. au check me through: wencewandi@yahoo.ca
 
Wakuu habarini za weekend,
Nimenunua modem ya Vodacom e173 nataka kuichakachua kwa matumizi ya mitandao mingine

Nimejaribu kusearch humu JF sijakutana na hii kitu

So please mwenye maujanja atusaidie hapa

Kama bado hujapata ufumbuzi weka imei yako hapa tukupe unlock code au kama wataka yale mambo ya" Raha jipe mwenyewe" sema tukupe link
 
Mkuu unajua unachokiongea lakini? Au ndio ile kule umachi noo

Nani anaongelea bure hapa, nimekwenda voda shop nikatoa pesa yangu kununua modem, na sasa nataka kuitoa lock niwe flexible kutumia mtandao wowote wewe unaita bure

Kuchakachua modem hakuna maana uitumie bure mkuu, kunamaana ya kufanya modem yake kutumia sim card tofauti tu na ukiwa umenunua bundle halali

usiangaike na hao wanaojifanya wajuaji kumbe hakuna walijualo
 
Thanx a lot guyz
, kwa msaada wa wadau wamenipatia software nikamaliza mchezo.
Problem solved, kitu mwake mwake nakamua line zote sasa

hey,bro hata me nina modem ya E173 airtel kama vipi naomba nisaidie hiyo software coz nahitaji kutumia lyn zote
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom