Msaada nugu wana JF

analysti

JF-Expert Member
Aug 24, 2009
729
612
Ninaomba wana JF, yeyote mwenye username na password ya Hinari anitumie tafadhali!!.Natanguliza shukurani
 
Hinari ndio nini?torrent site au download premium account??halafu akishakutumia ufanyaje with it?na ukishafanya itakusaidia nini?na tatizo lako hasahasa ni nini??nugu ndio nini?na kama huyu ni member kwanini uombe password yake??kwanini usi-mp??kwaahiyo we unadhani hivi ni vitu vya kushare??kwanini usiwaulize mods??duh kijana...naona maswali mengi kuliko majibu hapa!!
 
Na hiki nacho ni cha kupost ili kupata password ya watu?
Ama kweli kuna mamluki humu ndani
 

Similar Discussions

0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom