Msaada nokia N95

samilakadunda

JF-Expert Member
Oct 13, 2011
1,780
354
Naomba msaada wa kitaalam sim yangu ni N95 haionyeshi kituchocho zaidi ya mwanga tu! Nisaidieni jamani tatizo nn?
 
minya hizi butvon kwa wakati moja anza kwa kuminya button ya no.3(usiiachie) then minya button ya *(usiachie) then tena minya button ya kuwasha/power button/na hii usiachie) ikianza subr iwake mpaka ile mikono ikionekana ndo uachie halaf chagua lugha hakikisia ina charge ya kutosha kama hii njia haiwezekan shikilia power button wakati unaingiza na kttoa battery yan unaistua stua ikiwaka tu toa betri fanya mara 7
 
Kiama ni yakuslide ni mkanda,,na hata kama si yakuslide nayo ni mkanda umekatika,unatakiwa ubadilishwe,unapatikana kkoo,,around twenty plus matengenezo,.sina uhakika sana
 
aksante mkuu mkanda ya weza kuwa shingi ngapi?
 
minya hizi butvon kwa wakati moja anza kwa kuminya button ya no.3(usiiachie) then minya button ya *(usiachie) then tena minya button ya kuwasha/power button/na hii usiachie) ikianza subr iwake mpaka ile mikono ikionekana ndo uachie halaf chagua lugha hakikisia ina charge ya kutosha kama hii njia haiwezekan shikilia power button wakati unaingiza na kttoa battery yan unaistua stua ikiwaka tu toa betri fanya mara 7

aksante shiny nimechemka hakuna postive result mkuu!
 
mkuubhiyo kitu si bei sana. unaweza pata kwa kumi na tano plas matengenezo inakuwa 20 au kumi na nane , ni kariakoo mkubwa
 
kama ni ya kuslide tafuta mkanda imara ukiwekewa kimeo mengne hata wiki haifiki inakatika bt kama si ya kuslide hata mkanda wa bei poa unafaa tu mana mkanda utakua haumove kama kwenye simu za ku slide
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom