Msaada, nokia n8 imezima haitaki kuwaka.

mgodi

JF-Expert Member
Nov 5, 2010
2,780
1,845
Wakuu, poleni na majukumu ya kujenga taifa. simu yangu nokia n8 orijino imezima ghafla na haitaki kuwaka wala haingizi tena chaji! naombeni msaada wenu namna kuiwasha.
 
Mkuu toa betri na uiache kwa muda, walau saa moja then uichaji hadi full, then washa.
 
Mkuu toa betri na uiache kwa muda, walau saa moja then uichaji hadi full, then washa.

nashindwa kufunguwa screew ili nifikie hiyo batri! simu yenyewe ina housing kama ilivyo iphone 4.
 
nashindwa kufunguwa screew ili nifikie hiyo batri! simu yenyewe ina housing kama ilivyo iphone 4.

Kama uko serious na post yako nenda kwa mafundi wa simu wanazo special tool ya kufungua hizo screw4 ya nokia N8. pia unaweza kugoogle Nokia N8 disassembly kuna maelezo ya namna ya kutoa betri hiyo.
 
Back
Top Bottom