Msaada nokia c6

h120

JF-Expert Member
Jan 10, 2012
2,532
3,316
Ndugu wa wana gadget
Natafuta housing original ya nokia c6 nimezunguka kariakoo sijaridhika na baadhi ya housing nilizoziona mwnye kujua wapi original zinapatikana anisaidie kunifahamisha .
 
Posta na msimbazi nyingisana.Altenatively nenda kwa mafundi simu kwa ushauri.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom