Msaada Nmb Mobile Customer Care

Mr. Bigman

JF-Expert Member
May 7, 2011
2,560
1,299
Nina shida ya kucontact na watu wa Customer Care Nmb mobile,sijui namba yao ya cm. Currently huduma yangu hii imefungiwa due to PIN code problem. Ninaambiwa walishanitumia PIN code nyingine,which I have never seen it. Msaada kwa anayeijua please anipe
 
For inquiries on NMB mobile please contact call center on (mobile) 15566 or (landline) 022 2161500.

Mimi pia nilikua na tatizo kama dk 5 zilizopita, nimepiga hiyo ya landline ndio inapatikana na wamenisaidia.

Kila la kheri
 
you have made my day. Nashukuru sanaaa
 
Mkuu nashukuru sana maana leo nilikuwa na tatizo la kutuma pesa kwa nia ya Nmb mobile,nimeweza kufanya hivyo kwa kutumia mawasiliano uliyotupa hapa.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom