Msaada: Njia za kuongeza au kunenepesha mwili

Njia zinazo weza kukusaidia kuongeza unene

1.Kula chakula cha kutosha kila unapokula halafu chenye mafuta mengi,chakula chenye wanga zaidi nk.

2.Usikae muda mrefu bila kula chakula,muda kabla ya mlo mwingine usizidi masaa 4 au 3 halafu ukipata msosi kandamiza sawasawa.

3.Achana na mazoezi hasa yale ya kukimbia.

4.Kula chakula kingi kabla ya kwenda kulala.

5.Punguza mawazo

6.Punguza kula mboga za majani na matunda badala yake kandamiza nyama,maharage

nk.Kutimia njia za kawaida ni bora kwa sababu ukiona uzito umezidi unaachana na njia

hizi lakini unene wa dawa wakati mwingine hata kama ukiacha kutumia zinakuwa

zimeathiri mfumo wa asili wa utendaji kazi wa mwili huenda ukashindwa kuzuia tena.

7. Ukitaka kunenepa kula kwa wingi Ufuta changanya kidogo na sukari au pia waweza kupika huo ufuta ikawa ndio chakula chako utanenepa mwili wako.

Vp kama nataka kuongeza kiungo kimoja tu
 
Zingatia msosi huu:
Asubuhi.
Chapati 3,supu ya utumbo,soda baridi moja ukishamaliza shushia na lita 1 ya maji bariiiiidiiiiii.

Mchana.
Chips Kuku,mayai mawili pembeni,soda baridiii,ukimaliza shushia maji baridi lita 1

Usiku.
Nyama nusu,ndizi 4 mshale,biereee 4 then ulale,fanya hvyo kwa mwezi utanenepa ukifikia unene unaoutaka unaacha.

Hahahaaaaa, hizo pesa za kula zipo...?
 
Kama unataka kunenepa anza dozi ya uroho kula kutwa mara 8 jitahidi kuhudhuria kwenye mashughuli baada ya mwezi 6 njoo!
 
sijawahi kumwona alshababu mnene kama yupo mnisadie picha.
sasa huyu anataka unene wa nini?
 
Asante sana mzizi ooh Mungu I hope this will work daah nimechoka mifupa
Njia zinazo weza kukusaidia kuongeza unene

1.Kula chakula cha kutosha kila unapokula halafu chenye mafuta mengi,chakula chenye wanga zaidi nk.

2.Usikae muda mrefu bila kula chakula,muda kabla ya mlo mwingine usizidi masaa 4 au 3 halafu ukipata msosi kandamiza sawasawa.

3.Achana na mazoezi hasa yale ya kukimbia.

4.Kula chakula kingi kabla ya kwenda kulala.

5.Punguza mawazo

6.Punguza kula mboga za majani na matunda badala yake kandamiza nyama,maharage

nk.Kutimia njia za kawaida ni bora kwa sababu ukiona uzito umezidi unaachana na njia

hizi lakini unene wa dawa wakati mwingine hata kama ukiacha kutumia zinakuwa

zimeathiri mfumo wa asili wa utendaji kazi wa mwili huenda ukashindwa kuzuia tena.

7. Ukitaka kunenepa kula kwa wingi Ufuta changanya kidogo na sukari au pia waweza kupika huo ufuta ikawa ndio chakula chako utanenepa mwili wako.
 
Njia zinazo weza kukusaidia kuongeza unene

1.Kula chakula cha kutosha kila unapokula halafu chenye mafuta mengi,chakula chenye wanga zaidi nk.

2.Usikae muda mrefu bila kula chakula,muda kabla ya mlo mwingine usizidi masaa 4 au 3 halafu ukipata msosi kandamiza sawasawa.

3.Achana na mazoezi hasa yale ya kukimbia.

4.Kula chakula kingi kabla ya kwenda kulala.

5.Punguza mawazo

6.Punguza kula mboga za majani na matunda badala yake kandamiza nyama,maharage

nk.Kutimia njia za kawaida ni bora kwa sababu ukiona uzito umezidi unaachana na njia

hizi lakini unene wa dawa wakati mwingine hata kama ukiacha kutumia zinakuwa

zimeathiri mfumo wa asili wa utendaji kazi wa mwili huenda ukashindwa kuzuia tena.

7. Ukitaka kunenepa kula kwa wingi Ufuta changanya kidogo na sukari au pia waweza kupika huo ufuta ikawa ndio chakula chako utanenepa mwili wako.

Mzizimkavu hapa ni vipi kuhusu BP
 
Asante sana mzizi ooh Mungu I hope this will work daah nimechoka mifupa
Fuata huo ushauri wangu utanenepa na pendelea kula vyakuala vyenye mafuta mengi na usiwe na mawazo na wakati wa usilku mwingi kula kisha ulale hapo hapo utanenepa ninakutakia Good Luck.

Mzizimkavu hapa ni vipi kuhusu BP
Blood Pressure ndio nyumbani pake unauliza jibu wakati mtu anataka maradhi mpatie tu maradhi Kwani Hospitali zimewekewa na nani? Pasipo na Wagonjwa Madaktari watakula wapi? Pasipo na wezi,Majambazi,wala Rushwa,Mafisadi Vituo vya Polisi vitakuwa vipo wazi na Mahakimu watakuwa hawafanyi kazi yoyote ile.Tumbo lako lisipo kuuma hutaweza kula? Mwache apamie vyakula anenepe na sisi tunaye tangazia Dawa zetu za kukondesha tupate wateja.:D:D:D
 
Fuata huo ushauri wangu utanenepa na pendelea kula vyakuala vyenye mafuta mengi na usiwe na mawazo na wakati wa usilku mwingi kula kisha ulale hapo hapo utanenepa ninakutakia Good Luck.

Blood Pressure ndio nyumbani pake unauliza jibu wakati mtu anataka maradhi mpatie tu maradhi Kwani Hospitali zimewekewa na nani? Pasipo na Wagonjwa Madaktari watakula wapi? Pasipo na wezi,Majambazi,wala Rushwa,Mafisadi Vituo vya Polisi vitakuwa vipo wazi na Mahakimu watakuwa hawafanyi kazi yoyote ile.Tumbo lako lisipo kuuma hutaweza kula? Mwache apamie vyakula anene na sisi tunaye tangazia Dawa ztu za kukondesha tupate wateja.:smile-big::smile-big::smile-big:

Dokta umenchekesha sana. yani kweli dunia msongamano. Wengine wanataka kupungua..wengine kuongezeka. Haya dokta subiria wagonjwa
 
Zingatia msosi huu:
Asubuhi.
Chapati 3,supu ya utumbo,soda baridi moja ukishamaliza shushia na lita 1 ya maji bariiiiidiiiiii.

Mchana.
Chips Kuku,mayai mawili pembeni,soda baridiii,ukimaliza shushia maji baridi lita 1

Usiku.
Nyama nusu,ndizi 4 mshale,biereee 4 then ulale,fanya hvyo kwa mwezi utanenepa ukifikia unene unaoutaka unaacha.

shukran sana mkuu imenibidi niandae baje ya vyakula hivyo..

shukran mtoa mada pia
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom