Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Msaada:Njia za kuongeza au kunenepesha mwili

Discussion in 'JF Doctor' started by Al-shabaab, Dec 15, 2013.

 1. A

  Al-shabaab JF-Expert Member

  #1
  Dec 15, 2013
  Joined: Aug 24, 2013
  Messages: 1,418
  Likes Received: 31
  Trophy Points: 48
  Habari zenu wana JF
  Naomba msaada wa njia zipi mfano kama ni chakula au mazoezi yatakayosababisha mwili wangu kuongezeka
  nitashukuru sana.
   
 2. N

  Nebuchadnezzar JF-Expert Member

  #2
  Dec 15, 2013
  Joined: Sep 14, 2013
  Messages: 211
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Wewe ni ME au KE?

  Kama ni KE, mbegu za kiume nazo zinasaidia.
   
 3. charminglady

  charminglady JF-Expert Member

  #3
  Dec 15, 2013
  Joined: Apr 16, 2012
  Messages: 17,349
  Likes Received: 310
  Trophy Points: 83
  Hebu nipe dose yake aisee!!!!
   
 4. Dengue

  Dengue JF-Expert Member

  #4
  Dec 15, 2013
  Joined: Dec 4, 2012
  Messages: 1,267
  Likes Received: 54
  Trophy Points: 48
  Aisee kuutafuta unene sio kazi,ishu ni kuupuunguza.
   
 5. N

  Nebuchadnezzar JF-Expert Member

  #5
  Dec 15, 2013
  Joined: Sep 14, 2013
  Messages: 211
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Tukionana nitakupa.
   
 6. charminglady

  charminglady JF-Expert Member

  #6
  Dec 15, 2013
  Joined: Apr 16, 2012
  Messages: 17,349
  Likes Received: 310
  Trophy Points: 83
  Yaallaahhh.....
   
 7. King Kong III

  King Kong III JF-Expert Member

  #7
  Dec 15, 2013
  Joined: Oct 15, 2010
  Messages: 23,735
  Likes Received: 186
  Trophy Points: 63
  Zingatia msosi huu:
  Asubuhi.
  Chapati 3,supu ya utumbo,soda baridi moja ukishamaliza shushia na lita 1 ya maji bariiiiidiiiiii.

  Mchana.
  Chips Kuku,mayai mawili pembeni,soda baridiii,ukimaliza shushia maji baridi lita 1

  Usiku.
  Nyama nusu,ndizi 4 mshale,biereee 4 then ulale,fanya hvyo kwa mwezi utanenepa ukifikia unene unaoutaka unaacha.
   
 8. Ennie

  Ennie JF-Expert Member

  #8
  Dec 15, 2013
  Joined: Jan 15, 2011
  Messages: 7,150
  Likes Received: 20
  Trophy Points: 38
  Kwa kweli,na naomba akiileta uniite nami.
   
 9. N

  Nebuchadnezzar JF-Expert Member

  #9
  Dec 15, 2013
  Joined: Sep 14, 2013
  Messages: 211
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Sasa kwenye keyboard nitawezaje kukupa mbegu?

  Hadi tuonane nizinyunyizie kwako.
   
 10. O

  OLESAIDIMU JF-Expert Member

  #10
  Dec 15, 2013
  Joined: Dec 2, 2011
  Messages: 19,193
  Likes Received: 13
  Trophy Points: 48
  Utachanganya ngapi????!!!!!
   
 11. Ennie

  Ennie JF-Expert Member

  #11
  Dec 15, 2013
  Joined: Jan 15, 2011
  Messages: 7,150
  Likes Received: 20
  Trophy Points: 38
  Nataka kujua inatumiwa mara ngapi kwa siku,wiki au mwezi.
  Nataka kuwa bonge na mie,"Meat for men,bones for.........." hapo nimesahau ngoja Heaven on Earth aje anisaidie.
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 12. Mhandisi Mzalendo

  Mhandisi Mzalendo JF-Expert Member

  #12
  Dec 15, 2013
  Joined: Aug 23, 2010
  Messages: 1,467
  Likes Received: 277
  Trophy Points: 83
  Kiti moto na bia
   
 13. O

  OLESAIDIMU JF-Expert Member

  #13
  Dec 15, 2013
  Joined: Dec 2, 2011
  Messages: 19,193
  Likes Received: 13
  Trophy Points: 48

  Hata 24/7 tapata
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 14. M

  Mambaenock JF-Expert Member

  #14
  Dec 18, 2013
  Joined: Aug 7, 2013
  Messages: 371
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 16
  hii kali sasa
   
 15. Remote

  Remote JF-Expert Member

  #15
  Dec 18, 2013
  Joined: May 20, 2011
  Messages: 13,264
  Likes Received: 210
  Trophy Points: 63
  hapo kwenye soda badili weka.bia
   
 16. A

  Al-shabaab JF-Expert Member

  #16
  Jan 11, 2014
  Joined: Aug 24, 2013
  Messages: 1,418
  Likes Received: 31
  Trophy Points: 48
  not allowed
   
 17. badiebey

  badiebey JF-Expert Member

  #17
  Jan 11, 2014
  Joined: Nov 29, 2013
  Messages: 5,890
  Likes Received: 355
  Trophy Points: 83
  Just eat more and care less...utanenepa tu
   
 18. MziziMkavu

  MziziMkavu JF-Expert Member

  #18
  Jan 14, 2014
  Joined: Feb 3, 2009
  Messages: 37,658
  Likes Received: 1,307
  Trophy Points: 113
  Njia zinazo weza kukusaidia kuongeza unene

  1.Kula chakula cha kutosha kila unapokula halafu chenye mafuta mengi,chakula chenye wanga zaidi nk.

  2.Usikae muda mrefu bila kula chakula,muda kabla ya mlo mwingine usizidi masaa 4 au 3 halafu ukipata msosi kandamiza sawasawa.

  3.Achana na mazoezi hasa yale ya kukimbia.

  4.Kula chakula kingi kabla ya kwenda kulala.

  5.Punguza mawazo

  6.Punguza kula mboga za majani na matunda badala yake kandamiza nyama,maharage

  nk.Kutimia njia za kawaida ni bora kwa sababu ukiona uzito umezidi unaachana na njia

  hizi lakini unene wa dawa wakati mwingine hata kama ukiacha kutumia zinakuwa

  zimeathiri mfumo wa asili wa utendaji kazi wa mwili huenda ukashindwa kuzuia tena.

  7. Ukitaka kunenepa kula kwa wingi Ufuta changanya kidogo na sukari au pia waweza kupika huo ufuta ikawa ndio chakula chako utanenepa mwili wako.
   
 19. A

  Al-shabaab JF-Expert Member

  #19
  Jan 21, 2014
  Joined: Aug 24, 2013
  Messages: 1,418
  Likes Received: 31
  Trophy Points: 48
  Asante sana
  MziziMkavu nitafuata ushauri wako
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 20. S

  Sadness JF-Expert Member

  #20
  Jan 22, 2014
  Joined: Dec 20, 2013
  Messages: 124
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  mwili una faidagani kwako wakati una afya? Au mwenzi wako anapenda wenye mwili mkubwa?
   

Share This Page