Msaada: Njia ya mkojo inatoa usaha, napata maumivu makali wakati wa kukojoa

Habarini wandugu,, mm ni kijana wa kiume, tangu jana naona njia ya mkojo inaniuma na kuna wakati inatoa maji maji ya usaha nashindwa kujua nini tatizo,, maana napata maumivu wakati wa kukojoa..natumaini nitakuwa nimeeleweka na ninahitaji msaada wenu
Mara ya mwisho umefanya mapenzi lini? Kachukue Cefxime 400mg (milligram) na Azythromycin unywe gram moja 1g ( gram), nadhani kidonge kimoja ni 500mg kwa hiyo utakunywa viwili. Ikiwa bado nenda hospitali thomas_360
 
Mkuu wala usishtuke sana maana huo ugonjwa unatibika kwa urahisi sana na kwa bei nafuu. Wewe nenda tu hospital uwaeleze utapewa dawa na siku ya kwanza tu utaanza kupata nafuu
 
Huu ugonjwa ulipelekea niache kuwaamin wanawake. .. Niligoma kuvaa condom ya tsh 500 afu nikaja kutibu ugonjwa kwa zaid ya tsh efu 50...nilichoma sindano ofcoz
 
Habarini wandugu,, mm ni kijana wa kiume, tangu jana naona njia ya mkojo inaniuma na kuna wakati inatoa maji maji ya usaha nashindwa kujua nini tatizo,, maana napata maumivu wakati wa kukojoa..natumaini nitakuwa nimeeleweka na ninahitaji msaada wenu
Huo lazima utakuwa ugonjwa wa zinaa most probably Gonorhea. Ila muone daktari kwa uchunguzi na
ushauri zaidi.
 
Mara ya mwisho umefanya mapenzi lini? Kachukue Cefxime 400mg (milligram) na Azythromycin unywe gram moja 1g ( gram), nadhani kidonge kimoja ni 500mg kwa hiyo utakunywa viwili. Ikiwa bado nenda hospitali thomas_360
Mara ya mwisho ilikuwa jumamosi na jana ndo niliongea na doctor akanipa maelekezo nitumie azythromycin 1500mg na flagyl 2000gm
 
Nashukuruni kwa ushahuri wenu hali inaendelea vizuri baada ya kupata dose kali hiyo jana..maumivu yameanza kupungua na usaha pia
 
Unajua kuna watu wanaumwa lakini wanaficha maradhi yao na kujificha husababisha kuongeza tatizo na hata gharama za matibabu nashukuru mungu nimewahi kwani Sh 5000 imenifanya sasa naanza kupata nafuu..so vijana wenzangu tusionee aibu kutafuta ushahuri pindi tunapoona hali ya utofauti katika miili yetu..kumbuka "MFICHA MARADHI KIFO HUMUUMBUA" asanteni sana wanajamii forum
 
Hivi inawezekana kupata huu ugonjwa wa kisonono hata kama umetumia mpira?
 
Na je inawezekana mmoja wenu akaathirika na mwingine asihathirike kama wote mwanzo mlikuwa mpo salama?
 
Back
Top Bottom