Msaada nisome nini kati ya ARCHTECTURE ,PHARMACY NA GEOLOGY msaada wakubwa

kwan wewe unapenda ipi kat ya hizo? zote zinalipa ila soma kitu unachopenda itakua vizuri zaid!!
 
Ipi iko more valuable na nikafanyakazi vizuri

ktk maisha kuangalizia sio kosa kama ilivyo madarasani,kaa angalia maisha ya hao watu wa namna hiyo then ukiona wanavyoishi most of them ndo uamue unataka kua kama hao ama la!
 
Back
Top Bottom