Msaada: Nini tofauti ya TBA na NHC?

Kasheshe

JF-Expert Member
Jun 29, 2007
4,694
787
Ndugu zangu naomba kuelimisha nini tofauti ya Tanzania Building Agency (TBA) na National Housing Corporation (NHC)?

Je majukumu ya TBA hayawezi kufanywa na idara ndogo ndani ya TBA.

Msaasa tafadhali.
 
ndugu yangu, TBA ni kama consultants, kuna architects, engineers, quantity suveyors and any consultants ambao huwa wanasimamia na kudesign majengo mainly ya serikali, NHC inajenga na inamiliki majengo, na kutokana na ujenzi wa nhc mara kwa mara pia wana consultants wao ndani ya shirika kusaidia ufanisi katika shuguli zao.. Ni kweli unavosema kwamba some chores za TBA zingeweza kufanywa na consultants walioko ndani ya NHC, lakini i think their number is still soo little, so maybe wangekua more empowered, and wangeongezwa idadi kidogo, then mambo yangekua barabara, coz there could be no need of TBA
 
Ulipozitaja kwa kirefu tayari ulishatoa tofauti kuwa moja ni agency,mwingne ni mmiliki majengo. TBA hujenga na kumkabidhi Nhc ayaendeshe majengo ya umma. Gudtym.
 
Back
Top Bottom