Msaada: Nini maana ya treasury bill (hati fungani)?

..Naam, hapa sasa tupo pamoja. lakini swali linakuja kama maturity yake ni after One Year, na Serikali ina Deficit katika bajeti yake iliyopo maana yake ni kuwa bado hazitasaidia kutatua tatizo meanwhile au?
kama ulivyoeleza awali, zinasaidia kutibu tatizo la liquidity katika bajeti hiyo (kumbuka bajeti nayo inadumu kwa mwaka mmoja tu). In ideal situation, treasury bill zinatakiwa zitumike kama stop gap measure... lakini (sina hakika) nadhani hapa kwetu serikali inaziona hizo kama mwokozi wa muda mrefu na ushahidi wa hilo ni jinis ambavyo tusivyokuwa na mikakati ya maana hasa ya kuongeza makusanyo. Unapouza treasury bills, ina maana unajiongezea mzigo kwa sababu at the end unapaswa kulipa zaidi ya kile ulichopewa. Kwa maana hiyo, serikali inapotoa treasuty bills, inatakiwa kuan na mikakati ya kuhakikisha kuwa itakusanya zaidi ili kufidia hilo pengo la ziada itaaywalipa 'wawekezaji'
 
Wadau nimejaribu kugoogle lakini bado sipati maana iliyo wazi na napata shida sana pale ambapo mtu anasema hati fungani zitakapo iva hati hizo huiva vipi? Tafadhali naomba kujuzwa.
 
Hii ni mikataba ya muda mfupi(Isiyozidi mwaka mmoja) kati ya pande mbili, mara nyingi huwa kati ya serikali na mtu binafsi au shirika ambapo serikali hupewa fedha kiasi fulani na kuahidi kukirudisha kiasi hicho pamoja na riba kiasi fulani katika kipindi maalum kisichozidi mwaka mmoja.

Kwa mfano serikali inaweza kuahidi kwamba itatoa shilingi mia moja na kumi katika kila shilingi mia moja iliyochukua kwa mtu binafsi au shirika fulani baada ya kipindi cha miezi mitatu, hapo ndiyo utamsikia mtu anasema hati fungani yangu imekaribia kuiva inapokaribia miezi mitatu kuisha.

NB: Urefu wa mikataba hii utegemea na miundo ya serikali yaweza kuwa miezi mitatu, miezi sita, miezi tisa au mwaka mmoja. However, mkataba zaidi ya mwaka huitwa Government Bond.
 
Hii ni mikataba ya muda mfupi(Isiyozidi mwaka mmoja) kati ya pande mbili,mara nyingi huwa kati ya serikali na mtu binafsi au shirika ambapo serikali upewa fedha kiasi furani na kuahidi kukirudisha kiasi hicho pamoja na riba kiasi furani katika kipindi maalum kisichozidi mwaka mmoja.

Kwa mfano serikali inaweza kuahidi kwamba itatoa shiringi mia moja na kumi katika kila shilingi mia moja iliyochukua kwa mtu binafsi au shirika furani baada ya kipindi cha miezi mitatu,hapo ndiyo utamsikia mtu anasema hati fungani yangu imekaribia kuiva inapokaribia miezi mitatu kuisha.
NB urefu wa mikataba hii utegemea na miundo ya serikali yaweza kuwa miezi mitatu,miezi sita,miezi tisa au mwaka mmoja.However,mkataba zaidi ya mwaka huitwa Government Bond.

Asante mkuu kwa kutueleimisha

thanks
 
Nashukuru sana mkuu, kwahiyo mikataba hii ni ya kifedha PEKEE? na Je ni lazima iwe kati ya serekali na shirika (kampuni) au hata baina ya shirika(kampuni) na shirika(kampuni) na je ni sifa zipi ambazo shirika (kampuni) zinapaswa kuwanazo ili kupata hizo hati? niatshukuru kwa msaada.
 
.

Ni kweli hii mikataba ni ya kifedha,lakini kwa upande wa baina ya nani na nani,hii si lazima iwe serikali na shirika,yaweza kuwa shirika na shirika.Lakini kwa uzoefu wa nchi yetu hakuna mikataba baina shirika na shirika au mtu binafsi na shirika.
Hapa Tanzania ni baina ya Serikali na shirika au watu binafsi.Uzoefu katika nchi mbalimbali duniani zinaonyesha kuwa majina yaweza kubadilika kulingana na nani aliyezitoa,kwa mfano yaweza kuitwa muniscipal bills,au muniscipal bond kama imetolewa na Halmashauri ya mji au jiji.Kwa upande mwingine yaweza kuitwa corporate bills au corporate bonds kama imetolewa na shirika fulani.
Kwa hapa Tanzania,treasury bill huuzwa kwa mnada katika benki kuu ya Tanzania,makampuni huzishindania ( On auction) na baadhi kuibuka washindi.Hii ni sawa na Majembe Auction wanavyofanya minada yao ( Huu ni mfano hai).
 
rakini nina swari nikuurizage, je ri serikari retu naro rina hizo bills au zetu hazina varyuu?
Hukifuatilia vyanzo vya mapato vya serikali yetu,treasury bills na Government bonds ni mojawapo ya vyanzo vya mapato.Namna inavyotolewa ni kama nilivyoeleza kwenye bandiko langu namba 7.
 
Hii ni mikataba ya muda mfupi(Isiyozidi mwaka mmoja) kati ya pande mbili,mara nyingi huwa kati ya serikali na mtu binafsi au shirika ambapo serikali upewa fedha kiasi furani na kuahidi kukirudisha kiasi hicho pamoja na riba kiasi furani katika kipindi maalum kisichozidi mwaka mmoja.

Kwa mfano serikali inaweza kuahidi kwamba itatoa shiringi mia moja na kumi katika kila shilingi mia moja iliyochukua kwa mtu binafsi au shirika furani baada ya kipindi cha miezi mitatu,hapo ndiyo utamsikia mtu anasema hati fungani yangu imekaribia kuiva inapokaribia miezi mitatu kuisha.
NB urefu wa mikataba hii utegemea na miundo ya serikali yaweza kuwa miezi mitatu,miezi sita,miezi tisa au mwaka mmoja.However,mkataba zaidi ya mwaka huitwa Government Bond.

Asante sana mwana jamii kwa maelezo mazuri na CLEAR. Tunapoeleweshana hivi vitu muhimu inazidi kuonesha umuhimu wa JF katika maisha yetu.
 
.

Ni kweli hii mikataba ni ya kifedha,lakini kwa upande wa baina ya nani na nani,hii si lazima iwe serikali na shirika,yaweza kuwa shirika na shirika.Lakini kwa uzoefu wa nchi yetu hakuna mikataba baina shirika na shirika au mtu binafsi na shirika.
Hapa Tanzania ni baina ya Serikali na shirika au watu binafsi.Uzoefu katika nchi mbalimbali duniani zinaonyesha kuwa majina yaweza kubadilika kulingana na nani aliyezitoa,kwa mfano yaweza kuitwa muniscipal bills,au muniscipal bond kama imetolewa na Halmashauri ya mji au jiji.Kwa upande mwingine yaweza kuitwa corporate bills au corporate bonds kama imetolewa na shirika fulani.
Kwa hapa Tanzania,treasury bill huuzwa kwa mnada katika benki kuu ya Tanzania,makampuni huzishindania ( On auction) na baadhi kuibuka washindi.Hii ni sawa na Majembe Auction wanavyofanya minada yao ( Huu ni mfano hai).

Nashukuru sana sana kwa ufafanuzi mzuri, wikend njema.
 
Hii ni mikataba ya muda mfupi(Isiyozidi mwaka mmoja) kati ya pande mbili,mara nyingi huwa kati ya serikali na mtu binafsi au shirika ambapo serikali upewa fedha kiasi furani na kuahidi kukirudisha kiasi hicho pamoja na riba kiasi furani katika kipindi maalum kisichozidi mwaka mmoja.

Kwa mfano serikali inaweza kuahidi kwamba itatoa shiringi mia moja na kumi katika kila shilingi mia moja iliyochukua kwa mtu binafsi au shirika furani baada ya kipindi cha miezi mitatu,hapo ndiyo utamsikia mtu anasema hati fungani yangu imekaribia kuiva inapokaribia miezi mitatu kuisha.
NB urefu wa mikataba hii utegemea na miundo ya serikali yaweza kuwa miezi mitatu,miezi sita,miezi tisa au mwaka mmoja.However,mkataba zaidi ya mwaka huitwa Government Bond.

Nakushukuru mkuu kwa kunifuta ujinga
 
Nashukuru sana mkuu, kwahiyo mikataba hii ni ya kifedha PEKEE? na Je ni lazima iwe kati ya serekali na shirika (kampuni) au hata baina ya shirika(kampuni) na shirika(kampuni) na je ni sifa zipi ambazo shirika (kampuni) zinapaswa kuwanazo ili kupata hizo hati? niatshukuru kwa msaada.
Ukisikia Treasury Bills maana ni za serikali, from the national treasury, yaani hazina zikiratibiwa na benki kuu, pia zina kazi ya ku control mfumuko wa bei kwa kupunguza ama kuongeza fedha kwenye mzunguko. Makampuni kwa makampuni zina majina tofauti, kana mi benki utasikia Fixed deposits, au kamani taasisi inaweza toa REPO etc
 
Kwa nyongeza tu, hizi ununuzi wake huwa pia na magumashi. Unaweza kuwa na pesa lakini ukashindwa kupata. Ni njia nzuri sana ya investment ila ugumu wake ni jinsi ya kupata fursa ya kununua hizo hati. Kuna siku niliangalia majina ya waliofanikiwa kununua hizo hati nikakuta majority ni watanzania wenye asili ya kiasia a.k.a wahindi, inaonyesha jamii ya kibantu haiko active sana katika aspect hii!
 
T/bill, bonds huwa zinatolewa na serikali kupitia central bank yake,,,,

Serikali inapokuwa na upungufu wa pesa ktk matumizi yake wanatoa ripoti hazina kuu kwamba tuna deficit ya eg. billion 50 this month ,xo hazina inatengeneza T/bills zenye value hiyo na kupeleka BOT,zikifika BOT zinaitwa government BONDS, BOT huwa wanatangaza kuwa tarehe fulani kutakuwa na mnada wa bonds minimum ni milloni labda 40; Na maturity yake ni miaka lets say 5, na annual interest rate ni 15% per annum/year.

Sasa investor wenye uwezo ambapo huwa mara nyingi ni mabenki, makampuni, mutual funds hata nchi nyingine pia huwa wananunua that’s why kwa nchi Marekani unasikia 20% ya madeni yao inadaiwa na China. Hii haimaanishi kuwa serikali ya Marekani ilienda kuomba msaada China hapana, bali ilifata huu utaratibu na hawa Chinese people wakanunua.

Na hii njia ndo inayotumika na serikali kupunguza ama kuongeza mzunguko wa fedha ktk nchi ama ukisikia kuprint pesa kwa serikali ndio hivyo,,hivyo basi kama mtahitaji maelezo zaidi kuhusiana na hii kitu mniambie
 
Ukisikia Treasury Bills maana ni za serikali, from the national treasury, yaani hazina zikiratibiwa na benki kuu, pia zina kazi ya ku control mfumuko wa bei kwa kupunguza ama kuongeza fedha kwenye mzunguko. Makampuni kwa makampuni zina majina tofauti, kana mi benki utasikia Fixed deposits, au kamani taasisi inaweza toa REPO etc

nathani hapo umechanganya vitu Fixed Deposits sio sawa na treasury Bills mtoa maada tufafanulie hapo
 
T/bill,bonds huwa zinatolewa na serikali kupitia central bank yake,,,,serikali inapokuwa na upungufu wa pesa ktk matumizi yake wanatoa ripoti hazina kuu kwamba tuna deficit ya eg. billion 50 this month ,xo hazina inatengeneza T/bills zenye value hiyo na kupeleka BOT,zikifika BOT zinaitwa government BONDS,,BOT huwa wanatangaza kuwa tarehe fulani kutakuwa na mnada wa bonds minimum ni milloni labda 40;Na maturity yake ni miaka lets say 5,na annual interest rate ni 15% per annum/year.sasa investor wenye uwezo ambapo huwa mara nyingi ni mabenki,makampuni,mutual funds hata nchi nyingine pia huwa wananunua thats why kwa nchi marekani unasikia 20% ya madeni yao inadaiwa na china.hii haimaanishi kuwa serikali ya marekani ilienda kuomba msaada china hapana,bali ilifata huu utaratibu na hawa chinese people wakanunua.na hii njia ndo inayotumika na serikali kupunguza ama kuongeza mzunguko wa fedha ktk nchi ama ukisikia kuprint pesa kwa serikali ndio hivyo,,hivyo basi kama mtahitaji maelezo zaidi kuhusiana na hii kitu mniambie

mkuu nipe utofauti kati ya Treasury bills, treasury bond, Govenment bond na fixed Deposit ,msaada please
 
Back
Top Bottom