Msaada: Ninatafuta Jengo (2-3 rooms) kwa ajili ya Ofisi

Scopion

New Member
Dec 7, 2011
3
0
WanaJF

Ninaomba msaada: Ninahitaji jengo la ofisi kama vyumba 2 au 3. Maeneo ninayopendelea yawe: Along Ali Hassan Mwinyi Rd, Msasani kwa Nyerere, Kijitonyama, Masaki na Upanga. Hata kama ni mtaa wa pili kutoka barabara kuu, ni poa tu.

Niwie radhi...ninajua kuwa ombi hili pengine hapa si mahala pake.....lakini unajua tena tunatafuta kujikwamua na hali hii ngumu...
 
Back
Top Bottom