Msaada nina Red eyes

osha macho kwa maji safi ya uvuguvugu
yaliyo changanywa chumvi kwa mbali.
 
Usafi wa macho kwa ujumla uhimarishe zaid kuosha mara kwa mara kwa maji safi ya vugu vugu na sabun unadumu kwa siku 5 had 7 tangu ukupate
 
Aisee huu ugonjwa bado unaendelea? Usifikiche macho,nawa mikono yako mara kwa mara,nenda baharini kanawe yale maji na yaingie machoni.
 
Back
Top Bottom