Msaada; Nimesahau Password

tindikalikali

JF-Expert Member
Jan 14, 2011
4,855
1,117
Habari zenu wakuu...
Nilibadilisha password ya fb last week, leo nimeupgrade browser nikasahau kukeep data. Nimejaribu kureset na wamenitumia code kwenye email yangu ya yahoo ambayo nayo imegoma kufunguka...

Kwenye PC naweza kuaccess account yangu kwan nilizisave password.

Maswali yangu
1. Je naweza kuipata password kutoka kwenye hivi vidot?
2. Je nitawezaje kuifungua yahoo? [nina uhakika password yake ni sahihi]

natanguliza shukrani
 
nenda kwenye computer nyingine u-login kwenye e-mail yako, then malizia mchakato, nadani itakusaidia
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom