Msaada: Nimepata mkopo HESLB 7.8%

TONY MTAKAYOTE

Senior Member
Jan 24, 2013
150
69
Mimi ni mwanafunzi mwaka wa kwanza, nimechaguliwa mech eng. Cha ajabu mkopo umetoka , nimekuta kwenye tuition fee wameweka 80,000/= kwa kweli sikuamini, nikarudia kama mara 3 hv. Ilikuwa kweli.
Ada ya chuo ni 1,020,000/=
naomben ushauri nifanye nini?
Maana wazee nao ni shida tu, hicho kiasi kilichobaki kinaniumiza kichwa sana.
Natanguliza shkrani.
 
Hapa kazi tu
 
nikiwakomalia wanaweza kuongeza?
Au mpaka kuandika barua?
Inaweza chukua muda gani kupata feedback?

Eng...ilibidi upate 100% ivo basi chukua karo yako ya advanced minus karo ya chuo chako kipya! Then ndio utakayolipiwa! Mfano kama advanced ulilipa karo 1300,000/- then chuo ni 1.2 then 1.3 - 1.2 utapewa laki tu. Watawala nadhani wanaita ability test....iyo kitu iko kwenye board directive manual yao kama sikosei!

Ushauri, kawaulizie vizuri, pia ikiwa ngumu then subiri meal allowances ndio ukate ulipe karo.
Pole ila HAPA KAZI TU
 
A-level nilisoma serikalini ada ilikuwa 70,000/=
 
penye nia pana njia ,,nenda kamuone kiongozi wako wa kanisa au msikiti wambie shida yako naimani watakuchangia na utaenda chuo
 
Jina lako tu duuuh MTAKAYOTE..

Shukuru hata hiyo wenzio hawajapata kabisa..jibane tu ile meal allowance itumie vizuri uweze kulipa at least semester ya pili
 
Back
Top Bottom