Msaada: Nimeibiwa Laptop, nina namba ya simu ya mwizi

komredi ngosha

JF-Expert Member
Jan 11, 2011
382
71
Wanajf,
nimeibiwa laptop yangu juzi usiku. Taarifa iko police ila wanashughulikia taratibu wakati kila kitu kiko wazi mpaka namba ya simu ya mwizi ambapo anataka nimtumie laki 5 ktk tigo pesa then anirudishie laptop anomously.
nahitaji kupata details za huyu bwana, mpelelezi wangu wa police anadai itachukua mwezi
kama kuna mwanajf yuko pale Tigo makao makuu au anamfahamu mtu pale au anaweza kunisaidia kupata taarifa hizo naomba msaada wako tafadhali
 
Kama una namba ya simu lakini humjui jina lake, wewe mtumie hata buku kwenye hiyo namba yake, itakuletea jina alilojisajiri tigo pesa, hapo utakuwa umelipata jina lake, mengine watakusaidia hao polisi.
 
assuming huyo mwizi hayupo JF na kama yupo hajaona na kuupitia huu uzi.
 
Huyo mpelelezi uchwara.
Kama yupo serious na kazi yake angeweza kabisa kumpta huyo jamaa coz polisi kama insitution. Wanaweza kwenda kampuni ya simu ya upata taarifa za kina za mtumiaji wa skiu. Namba hiyo!

Ushauri:
Mueleze wazi kuwa unafahamu possiblity ya wao ku-access data hizi kamouni za simu na onesha nia ya kwenda mbele zaidi, hiyo kitu inawezekana kabisa mkuu!
 
ukiwa unafanya inshu za uchunguzi usiweke kwenye public utakaa unang'aang'aa sharubu hautaipata hiyo laptop, nimeichukua mimi nitafute kama utaniona. Nitarudi baadae kidogo
 
kaka wewe acha. Kupangiwa mpelelezi imechukua siku 2. Mpelelezi mwenyewe leo kajipa off na anadai mpaka kwenda Tigo lazima jarada lipite kinondoni inaweza kuchukua mwezi au zaidi. Bila laptop nashndwa kusoma na kufanya projects zangu za programming and i'm not having enough money to buy a new one so soon. Guys kama unamfahamu m2 pale Tigo that can help pls nisaidieni
 
Kwani wewe unataka details gani zinazomhusu huyo mwizi wako mkuu??
 
ukiwa unafanya inshu za uchunguzi usiweke kwenye public utakaa unang'aang'aa sharubu hautaipata hiyo laptop, nimeichukua mimi nitafute kama utaniona. Nitarudi baadae kidogo

i got ua no, jst a matter of time u wil be in my hands and i promise u tht u wil never enjoy it. I gonna cut your body parts and skin u alive utajuta !
 
Kama una namba ya simu lakini humjui jina lake, wewe mtumie hata buku kwenye hiyo namba yake, itakuletea jina alilojisajiri tigo pesa, hapo utakuwa umelipata jina lake, mengine watakusaidia hao polisi.

tumefanya hivyo jana, jina tunalo lakini ni very common. Pia kwa maeneo ya hapa nilipo 2mejaribu ku search ktk databases hakuna match yoyote. Njia pekee ni kupata user info zake kutoka Tigo
 
Kwani wewe unataka details gani zinazomhusu huyo mwizi wako mkuu??

namba za simu anazowasiliana nazo sana, texts msgs alizotuma na kutumiwa for the past 6 months, file lake lenye form aliojiandikishia namba ya simu ile ina copy yenye kitambulisho ambacho kitamtambulisha mwajiri wake na anuani yake
 
askari wetu ni hopeless kabisa inabidi sasa serikali ifute kabisa sytem ya kuchukua form four badala yake wachukue form six only au chuo kikuu......utafikiri mahabusu bhana...au labda aataka kuhongwa...askari anashindwa kwenda Tigo? huyu atakuwa ni mbumbumbu tu hajui kitu ...darasa la saba huyu atakuwa kapachikwa na shemeji yake hapo kwenye upelelezi...
 
dont epend on police kupata hiyo laptop kwani wanakula pamoja na hiyo laki tano mbili huenda kwa manjagu.... you'd better pay "privately" mpelelzi na utaipata....

wanakula pamoja hao
 
kaka wewe acha. Kupangiwa mpelelezi imechukua siku 2. Mpelelezi mwenyewe leo kajipa off na anadai mpaka kwenda Tigo lazima jarada lipite kinondoni inaweza kuchukua mwezi au zaidi. Bila laptop nashndwa kusoma na kufanya projects zangu za programming and i'm not having enough money to buy a new one so soon. Guys kama unamfahamu m2 pale Tigo that can help pls nisaidieni

Lugha ndefu zote hizo kama huwezi ku "decode" ni kwamba mwizi anataka hela na Polisi wanataka cha juu.
 
Rahisi sana nenda tigo pale kamata halafu waelezee kisha mtumie hzo hela halafu ziweblocked yaan akitaka kutoa tu wanampigia simu hyo wakala na ili atoemsaada kwa polis mind you hzo hela haztatoka hata kama ataziamisha kwenda namba nyengine...
 
Pole sana. Huo mwezi mmoja watakuwa wanafanya nini. Au POlisi wanatumia waganga wa kienyeji kuwanasa wahaifu

Wanajf,
nimeibiwa laptop yangu juzi usiku. Taarifa iko police ila wanashughulikia taratibu wakati kila kitu kiko wazi mpaka namba ya simu ya mwizi ambapo anataka nimtumie laki 5 ktk tigo pesa then anirudishie laptop anomously.
nahitaji kupata details za huyu bwana, mpelelezi wangu wa police anadai itachukua mwezi
kama kuna mwanajf yuko pale Tigo makao makuu au anamfahamu mtu pale au anaweza kunisaidia kupata taarifa hizo naomba msaada wako tafadhali

Polisi ndio wanatakiwa kuwasiliana na Tigo. Au ukisema polisi una maanisha umeripoti kwa polii binafsi na sio polisi wakiwa ofisini kiofisi. Kama umeripoti kifosii Polisi wana uwezo nadhani hata sheria inawawezesha kupata detail za mtu mwenye number fulani.

Hzo detail Hata mfanyakazi wa tigo si rahisi kukuwezesha unless anataka kukomboa laptop yako kwa kupoteza ajira yake. Polisi watajua hata IMEI No. IMEI number inawawezesha polisi kujua muhusika hata akiweka kadi ya simu nyingie mradi tu watume aombi ya kupewa detail hizo. Kwa kutumia na kupewa detai za kampuni ya simu kuhusu huyo teja Polisi watajua hata location ya huyo mtu muda fulani kulinganana mnara simu yake inaotumia kuwasiliana

Je Polisi wako tayari kwenda tayari kwenda far wa ajili ya laptop. La sivyo azima jina uitwe Komredi izengo Pinda au Komredi Mrisho Kikwete. Ndani ya siku tatu utapata kila kitu.

Back
Top Bottom