Msaada: nichagulieni Location.................

1. Toilet (hakuna raha kama kunyamba mafi)
2. Mochware (utapata thawabu kuhudumia maiti)
3. Gesht haush (hupati kazi kupiga chabo bila malipo)
4........
 
Tolet...starehe gani unakuwa peke yako umejifungia
Mochware.....sawa lakini mauzauza ndio balaa
Gesht haush..........naweza sahau ndoa, kwa sababu nko kwenye mchakato na my only one charminglady
 
Last edited by a moderator:
Nazungumzia hiyo Location...najua kuna wengine wamesema kabisa location zao kama Dar, A-town (Erickb52) n.k.

Na kuna wengine wameweka location za kufikirika kama: Kongosho..............Loading mbalu ..................Ntuzu Asprin...................Martenity ward (siamini pamoja na uzee wote bado yupo martenity) Bujibuji..................Nyumbani panono FirstLady................Mama mwenye nyumba Katavi..................Lyamba lya mfipa Bishanga..............Sirius (sijui iko sayari gani)

Mimi ningependa mnichagulie Location ya kufikirika ile niweke kwenye profile yangu..........Zawadi itatolewa kwa nitakayoichagua...............Kazi kwenu.

mbinguni pembeni ya mwenyezi mungu
 
Last edited by a moderator:
hufai mtini wala shimoni,hufai kanisani wala msikitini,hufai mochwari wala kabulini,hufai machini wala mchi kavu,hufai,hufai,hufai,nasema hufai mahala popote,............kazi kuhalibu ndoa za watu
 
Yote haya nikiweka patatosha? Chagua moja na mimi nichague
 
Hapa kuna upendeleo!
Refa wewe!
Kibendera wewe!
Kamisaa wewe!
Get collector wewe!
Marks zinatoka kwa mujibu wa sura, sie wenye sura nzito hapa kwishney

Terms and condition applied (copyright 2012)........tupia location ya nguvu
 
Nazungumzia hiyo Location...najua kuna wengine wamesema kabisa location zao kama Dar, A-town (Erickb52) n.k.

Na kuna wengine wameweka location za kufikirika kama: Kongosho..............Loading mbalu ..................Ntuzu Asprin...................Martenity ward (siamini pamoja na uzee wote bado yupo martenity) Bujibuji..................Nyumbani panono FirstLady................Mama mwenye nyumba Katavi..................Lyamba lya mfipa Bishanga..............Sirius (sijui iko sayari gani)

Mimi ningependa mnichagulie Location ya kufikirika ile niweke kwenye profile yangu..........Zawadi itatolewa kwa nitakayoichagua...............Kazi kwenu.
Platozoon.embu gugo neno 'sirius'.
 
Last edited by a moderator:
Nazungumzia hiyo Location...najua kuna wengine wamesema kabisa location zao kama Dar, A-town (@erickb52) n.k.

Na kuna wengine wameweka location za kufikirika kama: Kongosho..............Loading mbalu ..................Ntuzu Asprin...................Martenity ward (siamini pamoja na uzee wote bado yupo martenity) Bujibuji..................Nyumbani panono FirstLady................Mama mwenye nyumba Katavi..................Lyamba lya mfipa Bishanga..............Sirius (sijui iko sayari gani)

Mimi ningependa mnichagulie Location ya kufikirika ile niweke kwenye profile yangu..........Zawadi itatolewa kwa nitakayoichagua...............Kazi kwenu.

Location - kwa mbalu patamu
 
Back
Top Bottom