Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Msaada.Ni baada ya muda gani mwanamke aliyepata ujauzito anatakiwa kuanza kuhudhuria kliniki?

Discussion in 'JF Doctor' started by MCHUMIPESA, Jun 17, 2012.

  1. M

    MCHUMIPESA JF-Expert Member

    #1
    Jun 17, 2012
    Joined: Mar 11, 2012
    Messages: 2,096
    Likes Received: 3
    Trophy Points: 0
    Haya mambo kwa vijana tulio wengi hatuyajui.Bila shaka bado mnaikumbuka ile post yangu kuhusu shemeji yenu muda kama wa mwezi mmoja sasa umepita.Nisaidieni jaman ni muda gani unafaa kwake kuanza kuhudhuria kliniki nikiambatana naye bega kwa bega?.Nampenda sana na ni lazima nimlinde kwa hali zote kwa usalama wake na mtoto wetu.PIA NI MAMBO YAPI ANATAKIWA KUYAZINGATIA KWA USALAMA WA MTOTO ALIYE TUMBONI?.Ale vyakula aina gan na afanye nini zaidi kuhusu ujauzito?.Kejeli matusi na dhihaka hapa havina nafasi.Karibuni thanks.
     
  2. Kennedy

    Kennedy JF-Expert Member

    #2
    Jun 17, 2012
    Joined: Dec 28, 2011
    Messages: 9,188
    Likes Received: 833
    Trophy Points: 280
    Baada ya kuwa nayo aanze kwenda kliniki
     
  3. amkawewe

    amkawewe JF-Expert Member

    #3
    Jun 17, 2012
    Joined: Dec 9, 2011
    Messages: 2,030
    Likes Received: 5
    Trophy Points: 135
    anatakiwa aende walau mara 4 katika kipindi chote cha mimba, akapime watamshauri
     
  4. measkron

    measkron JF-Expert Member

    #4
    Jun 17, 2012
    Joined: Apr 11, 2011
    Messages: 3,597
    Likes Received: 190
    Trophy Points: 160
    Mara unapohisi waweza kuwa mjamzito ni vyema kwanza kufanya early ultrasound hii ni kuwa na uhakika mimba iko ndani ya mji Wa uzazi, Kama kuna uwezekano Wa kufanya kipimo hiki ni vyema. Cliniki unaanza mapema kuweza kipimwa vipimo mbalimbali ili Kama kuna tatizo basi litagundulika mapema na kufanyiwa ufumbuzi. Sio kila mwanamke anatakiwa kuhudhuria clinic mara nne, kuna wengine hupewa visits nyingi zaidi kulingana na Hali zao. Ushauri mwingine zaidi ataupata clinic na ni vyema kumsindikiza ili na wewe uweze kujua yanayojiri
     
  5. M

    Malolella JF-Expert Member

    #5
    Jun 17, 2012
    Joined: Feb 3, 2012
    Messages: 368
    Likes Received: 2
    Trophy Points: 35
    Akifika kwa marayakwanza watampima magonjwa yote ikiwemo Ukimwi. Tena mnapaswa kupima wote!
     
  6. M

    Mtaftaji Senior Member

    #6
    Jun 18, 2012
    Joined: Nov 12, 2011
    Messages: 195
    Likes Received: 12
    Trophy Points: 35
    Hongera kwa kujua jukumu lako.
     
Loading...