Msaada: Neno hodi kwa Kingereza

nzalendo

JF-Expert Member
May 26, 2009
10,639
9,779
Rejea Kichwa Habari naomba tafsiri ya neno HODI kwa lugha ya Ki Ingereza.

Nam shukuruni

Karibuni.
 
Unagonga mlango unasubiri jibu, haina kuongea.

Naonaga watu wanatumia "May I get in?"

Sa sina uhakika kama ndo kizungu sahihi ama!
 
Jana nimeulizwa eti kuku asiye na manyonya shingoni anaitwaje kwa Kiingereza sahihi..???

Nikashindwa kujibu wadau...
Wakati natafakari nikaulizwa na ng'ombe asiye na pembe anaitwaje kwa lugha ya malkia????

Yote yalinishinda wadau..
 
Hakuna tafsiri ya moja kwa moja kwenda kwenye Kiingereza, instead unaweza kusema "Hello au Hello, anybody home" au kama unaelezea tukio la mtu kugonga hodi unasema mfano " He knocked the door but there wasn't any response"
Afuaan
 
Ni Kingereza kizuri tu,ila kuongeza uungwana unaongeza "please."Hata hivyo hii inatumika kama mlango uko wazi na anakuona.Kama mlango umefungwa wazungu hawana hodi.Unachofanya ni kugonga mlango,halafu yeye anakuambia "come in please."Then unafungua mlango unaingia na mengine yanafuata.
Unagonga mlango unasubiri jibu, haina kuongea.

Naonaga watu wanatumia "May I get in?"

Sa sina uhakika kama ndo kizungu sahihi ama!
 
Wazungu hawana neno "hodi," wao wanagonga tu mlango halafu akikuambia "come in please" unaingia halafu mengine yanafuata."May I come in please"inatumika kama mlango uko wazi na anakuona.
Rejea Kichwa Habari naomba tafsiri ya neno HODI kwa lugha ya Ki Ingereza.

Nam shukuruni

Karibuni.
 
Jana nimeulizwa eti kuku asiye na manyonya shingoni anaitwaje kwa Kiingereza sahihi..???

Nikashindwa kujibu wadau...
Wakati natafakari nikaulizwa na ng'ombe asiye na pembe anaitwaje kwa lugha ya malkia????

Yote yalinishinda wadau..
Kuku ni Kuku tu
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom