Msaada ndugu zangu mwenzenu naangamia

Kaka mwisho

JF-Expert Member
Dec 19, 2011
402
164
nasumbuliwa na uume wangu yaani unasinyaa nakuwa mdogo na mgumu ukiambatana na miguu kuwa kama misuli inavuta na maumivu makali ya mgongo na kiuno. Nimepima magonjwa ya zinaa sina, x-ray hakuna tatizo. Hizi ni dalili za ugonjwa gani na tiba yake nini.?
 
Back
Top Bottom