Msaada: natafuta tiketi za World Cup

Gaijin

JF-Expert Member
Aug 21, 2007
11,812
5,284
najua kuwa Wizara ya Michezo ya Tanznia imepatiwa ticket za kwa ajili ya mashindano ya world cup, za kuwauzia wananchi wake (kila nchi inapewa fungu lake)

hizi tiketi jamani zinapatikana kwa utaratibu upi?

i need 2 for atleast 2 different matches.

ahsanteni
 
Gaijin,

Tiketi zilizoletwa Bongo zilikwisha hata kabla hazijafika. Wabongo waliokuwa wanahitaji tiketi walikuwa zaidi ya 700 lakini tiketi zilizokuja ni 380 tu.

Kwa hiyo kama unataka tiketi ongea na mtu yeyote aliyeko South Africa akununulie au kama una credit card basi ingia http://www.fifa.com/worldcup/organisation/ticketing/index.html na unaweza kununua tiketi yako moja kwa moja.

Ila tu tatizo kubwa ni aina ya mechi unazozitaka na mji unaotaka kwenda kuangalia hizo mechi. Maana tiketi za timu kubwa kama Brazil, England, Netherlands, Germany na Spain zote zimekwisha!
 
Jaribu pia kunywa soda za coca cola,nao pia nasikia wana tiketi kadhaa!!
 
Back
Top Bottom