Msaada natafuta tairi za gari

Apr 22, 2009
27
1
Wadau wote wa jf naombeni msaada natafuta tairi kwa ajili ya gari land cruiser hd 100
saizi ya tairi 275/65/r18 aina ninayopenda ni
bridge stone japan au aina nyingine yoyote. Mwenye kujua sehemu nitakayo pata anijulishe.
 
Ni gali la urithi au?
 
Kwa dar hupendelea victoria
Arusha napendelea Manjis Bp
Bf goodrich ni poa kwa rough road
 
Wadau wote wa jf naombeni msaada natafuta tairi kwa ajili ya gari land cruiser hd 100
saizi ya tairi 275/65/r18 aina ninayopenda ni
bridge stone japan au aina nyingine yoyote. Mwenye kujua sehemu nitakayo pata anijulishe.
Mkuu used au mpyaa!! Weka mawasiliano plizzz...!!
 
Jaribu Dunlop (Ila mfuko wako uwe umetuna), utaondokana na adha ya kutafuta tairi kwa miaka 4 au zaidi.
 
Back
Top Bottom