Msaada;natafuta hotel/lodge nzuri at affordable cost

Keagan

Member
Aug 6, 2012
40
11
Habari zenu wadau,
Sasa, naomba msaada wenu nina mgeni nampokea kesho,anahitaji kufikia hotel nzuri kwa kila kigezo lakini ya gharama nafuu hapa dar es salaam..budget yetu inarange kati ya 35 na 40 usd per night.

Naomba mnisaidie kurecommend hotel hizo na gharama zake na adress. Nitashukuru sana,there are some matters we need to work on urgently.
 
aisee jaribu hizi hotel ziko poa sana KONIFA BUSINESS LODGE IKO MBEZI BEACH BAGAMOYO ROAD BEI ZAKE ZINARANGE NA HIZO HALAFU WANYAMA HOTEL SINZA MORI AU PASSWORD MANZESE HUDUMA SAFI BEI POA
 
Mh manzese ni nje ya choice kabisa..hiyo wanyama hotel una namba zao?
 
IKITAKA KUWA KATIKATI YA MJI WANYAMA IKO VIZURI LAKINI KAMA UNATAKA KUWA NJE KIDOGO YA MJI UNAWEZA ENDA KONFA BUSINESS LODGE IKO POA SANA KWA MAZINGIRA NA KILA KITU PALE BUT WANYAMA UNAWEZA CHECK KWENYE WEBSITE YAKO www.wanyamahoteltz.com
 
Nshkuru ngoja nifungue web ya wanyama hotel..meanwhile kama una webpages za nyinginezo ntashkuru pia ukinipa nifanye choice nzuri.
 
Mbona umesema hotel watu wanakupa "guest house"..is wanyama a hotel or a guest house???....kwani ni nyota ngapi hii wanyama?..password nayo ni hotel???...ngoja niingie google nikatafute a definition of a hotel nije tuendelee.
 
Kuna vijihoteli vipya kama 3 kati ya lumumba na mtaa wa sikukuu upande wa gerezani kariakoo jaribu hizo .
maombi kama hayo unapaswa uyatoe mapema ili uwe na ample time ya kuchagua
 
aisee jaribu hizi hotel ziko poa sana KONIFA BUSINESS LODGE IKO MBEZI BEACH BAGAMOYO ROAD BEI ZAKE ZINARANGE NA HIZO HALAFU WANYAMA HOTEL SINZA MORI AU PASSWORD MANZESE HUDUMA SAFI BEI POA

Mkuu mbona kama hao KONFA bei yao ipo juu zaidi ya bajeti ya huyu mhitaji?
 
Habari zenu wadau,
Sasa, naomba msaada wenu nina mgeni nampokea kesho,anahitaji kufikia hotel nzuri kwa kila kigezo lakini ya gharama nafuu hapa dar es salaam..budget yetu inarange kati ya 35 na 40 usd per night.

Naomba mnisaidie kurecommend hotel hizo na gharama zake na adress. Nitashukuru sana,there are some matters we need to work on urgently.
NAMNAANI, maeneo ya sinza sio pabaya pia (kama una gari, parking yao ni ya kutosha na usalama ni mkubwa tu)
 
Kuna hawa jamaa wanajiita stephanos hotel wape kati ya mtaa wa livingstone na aman k/koo. huduma zao zipo poa. jaribu kuwasiliana nao kwa 0713466254. kuna jamaa anaitwa emmanuel sijui kama atakua job. hiyo namba ya ofisi. mia
 
Check ROMBO Green View mitaa ya Kona ya Shekilango..,ni nzuri sana Mkuu..!
 
hotel nzuri kwa kila kigezo lakini ya gharama nafuu
MHH KUNA HII IKO MAPAMBANO SHULE"SUKUMA HAPA LODGE";KUNAYNINGINE INAITWA "KINDYOKYAKOSEMBE LODGE""
 
Mbona umesema hotel watu wanakupa "guest house"..is wanyama a hotel or a guest house???....kwani ni nyota ngapi hii wanyama?..password nayo ni hotel???...ngoja niingie google nikatafute a definition of a hotel nije tuendelee.
unabisha kabla hata hujajua definition ya Hotel? wabongo bana
 
check rombo green view mitaa ya kona ya shekilango..,ni nzuri sana mkuu..!
mkuu hii ya wahuni kila siku watu wanaibiwa mbaya ukilala siku mbili ukosi kusikia mke wa mtu kafumaniwa usiku watu wanarusha vyupa ati...aina adabu kabisa ..
 
Back
Top Bottom