Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

MSAADA - Natafuta fundi mzuri wa Suzuki Swift

Discussion in 'Matangazo madogo' started by Ortega, May 21, 2012.

 1. Ortega

  Ortega Member

  #1
  May 21, 2012
  Joined: Jan 4, 2011
  Messages: 63
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 13
  Waungwa kwanza niwasalimie Asalam aleiukum,

  Nimekuwa nikisumbuliwa na gari langu aina ya Suzuki Swift kwa muda mrefu sasa na mafundi wengi wameonekana wababaishaji wamekuwa wanafanya majaribio kwenye mkoko huu, gari imekuwa na miss zisizoisha nadhani itakuwa na tatizo la umeme au mfumo wa upepo umekaa vibaya.

  Kwa yeyote anayemjua fundi mzuri wa Suzuki Swift, psee naomba anijulishe namna ya kumpata
   
Loading...