Msaada: Natafuta driver ya Epson 010F Scanner

Erick_Otieno

JF-Expert Member
Mar 28, 2010
624
1,020
Wakuu naomba msaada kwa mtu anayeweza kunipatia soft copy driver ya kuinstall Epson 010F scanner. Hard copy sina.
 
Nimeunganisha scanner ya epson 010F kwenye komputa niweze kuscan, ikatuma ujumbe kwanba niweke cd ili iweze kufanya installation. Sina hiyo cd, nimejaribu kutafuta kama kwenye websiye ya epson kama wanayo hii driver lakini haipo. Hivyo kama unaweza kusaidia nitashukuru sana ili iweze kufanya kazi.
 
ngoja ni jaribu kutafuta nitalejea...unatumia OS gani?
 
Pia kinachonishangaza hii scanner kwenye label yake inaonyesha ni ni EPSON PERFRCTION 1250 lakini kwenye meseji ya screen inaonyesha EPSON SCANNER 010F...
 
Back
Top Bottom