Msaada: Natafuta annointing water ya T.B Joshua

mangoda

Member
Apr 11, 2011
19
7
Habari zenu wapendwa katika bwana. Jamani nina shda sana na anointing water kutoka SCOAN, kama yuko mtu ashawahi kwenda kwa T.B Joshua akapewa naomba anisaidie japo few drops I'll mix it with other water. Ninayo mambo mengi magumu ambayo nayapitia katka dunia hii, naaamini nikipata hayo maji shda zangu zote zitakuwa zimefunguliwa. Nisaidieni pease Wanajf wenzangu. Yeyote mwenye nayo naomba aniPM.
 
Ni kweli ila pengine mwalimu auko sahihi sana kumbuka hayo maji lazima yaombewe na kwajina la yesu kristo anazareth
swala la muhimu ni kuwa naimani na kama uonavyo hapo juu binafsi naomba mwenye kuyapata anijulishe...unajua kuna nguvu ndani ya water,mafuta(annointing oil,na chumvi,,binafsi nimeshamwaga umuhimu wa chumvi na maandiko yake akika yanavuruga kila planing ya shetan nimeona live bila chenga..so mwenye kuwa na uwezo nayo atujulishe akuna asieamini vinginevyo angenda maji ya pugu kwenye fungus akanywa amakujipaka
ubarikiwe mwalimu
 
mbali ya hayo, faith matters a lot, pray hard

Mja, UMENENA SAWA SAWA NA BWANA AKUBARIKI. YAANI IMANI NA YEYE MWENYEWE KUOMBA MUNGU ATAMSIKIA NA KUMPONYA KATIKA SHIDA ZAKE. NI KWELI HATA MIMI NAPENDA SANA KUSIKILIZA MAFUNDISHO YA T.B JOSHUA. LAKINI NIKAFIKIRIA SIKU MOJA KWAMBA YEYE ANA IMANI NA ANAOMBA NA NDIO MAANA MUNGU ANAMSIKILIZA NA KUMWEZESHA KUWAOMBEA WATU WANAPONA KATIKA JINA LA YESU. WEWE MWENYEWE OMBA SANA, FUNGA HATA KAMA UNAUMWA FUNGA HATA KWA MASAA 6 KWA SIKU MUNGU ANAKUONA........
 
nenda kwa mhariri wa tanzaniadaima nazani alipewa alipoenda na lowassa bt mbona tz wapo watumishi wengi tu? Inamaana huwaamini?
 
Ni kweli ila pengine mwalimu auko sahihi sana kumbuka hayo maji lazima yaombewe na kwajina la yesu kristo anazareth
swala la muhimu ni kuwa naimani na kama uonavyo hapo juu binafsi naomba mwenye kuyapata anijulishe...unajua kuna nguvu ndani ya water,mafuta(annointing oil,na chumvi,,binafsi nimeshamwaga umuhimu wa chumvi na maandiko yake akika yanavuruga kila planing ya shetan nimeona live bila chenga..so mwenye kuwa na uwezo nayo atujulishe akuna asieamini vinginevyo angenda maji ya pugu kwenye fungus akanywa amakujipaka
ubarikiwe mwalimu

Mimi sina pingamizi na maji ya kutoka kwa TB Joshua...Ninachojaribu kusisitiza hapa ni kujenga imani ndani yako juu ya uponyaji kwa jina la Yesu na sio kwenye maji. Weka imani kuwa Yesu atayatumia hayo maji kufanikisha uponyaji na sio maji yenyewe automatically yanaponya! Principle hiyo hiyo inafanya kazi hata kwenye mafuta, chumvi n.k.
 
mi ninayo nilienda huko recently pia kuna another group linaondoka next week kwenda scoan.

nitafute mapema
 
mi ninayo nilienda huko recently pia kuna another group linaondoka next week kwenda scoan.

nitafute mapema

nafikiri yameaanza tena kama yale ya kwa babu(loliondo),..mtu unafunga safari mpaka nigeria eti kupata upako,YESU yupo mahali popote dunian sio mpaka kwa joshua,...kweli nimeamini binadamu tuna matatizo mengi na tunahitaji njia za mkato kuyatatua bila kuchuchumalia/kupiga goti kwa bwana YESU,...
 
NENDA LOLIONDO WEWE ACHA KUTESEKA...............UKISHINDWA NENDA NGENDE, SUMBAWANGA, GAMBOSHI.
Mbona sehemu nyingi tuu!!!!!!!!
 
"AMELAANIWA NAE AMTEGEMEAE MWANADAMU" mungu ametuagza tuzshike na kuzifuata amri na hivyo basi yeye atutimizia haja zetu. HOSEA 4:6 "watu wangu wanaangamia kwa kukosa maarifa"
 
Kagonge anointed kikombe cha "babu"!

Achana na hizo annointing za kishetani hazitakusaidia chochote mwamini, Yesu jifunze neno lake na kumwomba atakuondolea matatizo yako yote hata kama unayaona magumu kiasi gani yeye hashindwi na kitu chochote, Amen
 
Kwa kukushauri tu,
kua makini hapa bongo kila kitu kinapatikana,
usije ukapewa maji ya mto msimbazi ukachomekewa ni maji ja JOSHUA.
Ni angalizo tu.
 
Kwa kukushauri tu,kua makini hapa bongo kila kitu kinapatikana,usije ukapewa maji ya mto msimbazi ukachomekewa ni maji ja JOSHUA.Ni angalizo tu.
mi naonele afanye kama imani yake inavyo m2ma afanye hivyo maana anaami imaniyake inavyo m2ma. Apatiwe ili tatizo lipunguwe alafu amtafute Yesu.
 
Ndugu Wana jf naomba kwa wanaoishi daslam mnielekeze wapi ntapata anointing water ya good morning, ya T. B Joshua anaejua hela ni pesa ngapi nisaidieni jamani nina shida na imaniyangu inaamini kupitia anointing water.
 
Nenda Benjamin Mkapa Tower pale Posta, uliza pale receiption first floor watakuonyesha ofisi yao ilipo . Mara ya mwisho bei ilikuwa ni $50. Jitahidi ufike kabla ya saa nne asubuhi kwani wana muda wao wa kazi
 
Nendajengo la Benjamin mkapa tower,posta mpya,ukiuliza hapo ghorofa za chini utampata wa kukuelekeza,mengine ya bei utayakuta huko huko,ni dsm
 
Back
Top Bottom