Msaada nashindwa kuweka ujumbe wangu binafsi.

Reporter

Member
Feb 8, 2011
9
0
Vipi wakuu! Naombeni msaada wa jinsi ya kuuweka ujumbe wangu ili uweze kusomeka hapa chini kila ninapoandika post au ninapojibu post za wenzangu, ntatoa mfano kama sijaeleweka maana kiswahili kigumu jamani. Utakuta ukisoma baadhi ya posts humu ndani, mwisho wa ile post mlengwa ameambatanisha ujumbe wake kuhusiana na mtazamo wake, bila shaka nimeeleweka.
 
Kama unamaanisha vile vikaragosi (picha) vinajulikana kama avatar. Mi natumia kitu cha tochi (simu) sivipati humu. Ila kama unatumia kompyuta huko vimejaa. Nakama vinginevyo ngoja wenzangu watakuja punde!
 
hiyo inaitwa signecha, nenda kwenye settings then edit signature ukishaandika unachotaka unasevu, basi
 
Kama unamaanisha vile vikaragosi (picha) vinajulikana kama avatar. Mi natumia kitu cha tochi (simu) sivipati humu. Ila kama unatumia kompyuta huko vimejaa. Nakama vinginevyo ngoja wenzangu watakuja punde!

Simaanishi vikaragosi, ila ni ule ujumbe wa maandishi ambao umeandikwa na mtu, huwa unakaa pale chini baada ya kumaliza kusoma post, na sio wanajanvi wote huwa wameuweka huo ujumbe bali ni baadhi tu. Pia wengine wameambatanisha na hivyo vikaragosi unavyovisema.
 
mbona nimejaribu hizo steps afu sioni mabadiliko mkuu au kuna utundu wa ziada unaitajika?

Kama unatumia simu nenda hapo kwenye ''user CP'' fungua kisha utaona sehemu ya kuedit signature. Cheza napo hapo.
 
Simaanishi vikaragosi, ila ni ule ujumbe wa maandishi ambao umeandikwa na mtu, huwa unakaa pale chini baada ya kumaliza kusoma post, na sio wanajanvi wote huwa wameuweka huo ujumbe bali ni baadhi tu. Pia wengine wameambatanisha na hivyo vikaragosi unavyovisema.

kama alivyokumbia huyo mrembo P mwenye paja lenye mvuto needa kon'goli'( click) kitufe cha setting alafu ukurasa utakaokuja upade wa kushoto angalia kuna ehemu imeandikwa edit signature . Kon'gota hapo then chapa signature unayotaka kutumia
 
mbona nimejaribu hizo steps afu sioni mabadiliko mkuu au kuna utundu wa ziada unaitajika?
Ukiweka ujumbe wako kwa njia ya simu signature yako haitaonekana, lakini ukipost kwa kutumia pc utaonekana. Fanya kama preta alivyokuelekeza!
 
Back
Top Bottom