Msaada: Nashindwa kuplay video za Youtube

Opaque

JF-Expert Member
Oct 24, 2008
1,359
719
Wakuu nimekuwa nikiangalia Youtube videos hapo kabla, lakini siku za hivi karibuni kila nikitaka kuplay ninashindwa, badala yake inakuja message hii:

Hello, you either have JavaScript turned off or an old version of Adobe's Flash Player. Get the latest Flash player

Nime~enable Scripting settings zote na nimeinstall Flash Player v 10.0.22.87 ambayo nadhani ndiyo latest, lakini bado napata the same message hata baada ya ku~restart.
Naombeni maelezo yenu wakuu nami nienjoy Youtube.
 
Last edited:
Internet Explorer v6


Hiyo web browser inahitaji upgrade au kubadilishwa.
IE Version 6 SP3 ilitoka April 21, 2008
Security issues:
As of January 10, 2009, Secunia reports 142 vulnerabilities in Internet Explorer 6, 22 of which are unpatched, some of which are rated moderately critical in severity[5].
Although security patches continue to be released for a range of platforms, most recent feature additions and security improvements were released for Windows XP only.
How outdated is your IE6?
 
Hiyo web browser inahitaji upgrade au kubadilishwa.
IE Version 6 SP3 ilitoka April 21, 2008
Yeah, thanks mkuu, kwa kuanzia nimebadilisha kwa kuinstall Mozilla na it works !!
How outdated is your IE6?
Nadhani pia kwa maelezo yako, natakiwa kuiupgrade hiyo IE kwani bado inatumia SP2. Thanks a lot ila kwa sasa nazipata Youtube videos kwa Mozilla
 
Last edited:
Back
Top Bottom