Msaada! napata period for two days ni kawaida

mangoda

Member
Apr 11, 2011
19
7
Jamani,

Kuanzia January mpka leo napata period for two days. Na ni kidogo sio kama ilvyokuwa mwanzo. Je, ni kawaida? Mwanzoni nilikuwa napata for four days au siku nyingine siku tatu. I am scared, sjui ni hali ya kawaida au vipi. Wanawake wa JF na JF doctors please nisaidieni. Na hii imeanza baada ya kuanza kutumia pads za Tasly, je, kuna connection yoyote kweli?
 
Je, umewahi kutumia vidonge vya kuzui mimba au kuchoma sindano za kuzuia mimba huko siku za nyuma? Mzunguko wako ni wa siku ngapi? 30, 28, 21 au?? Hebu fafanua hilo ili Doctor nifanye kazi yangu ipasavyo!
 
Back
Top Bottom