Msaada: Naomba msaada wa mwanasheria yoyote ambaye atajitolea kunisaidia katika hili

Michael Amon

JF-Expert Member
Dec 22, 2008
8,775
3,591
Naombeni msaada wenu wanasheria. Ninaomba msaada wa mwanasheria yoyote ambaye ataweza kunisaidia katika kuandika Memorandum and The articles of Association kwa ajili ya registration ya Private company. Natanguliza shukrani zangu za dhati kwa yeyote ambaye atajitokeza kunisaidia karika hili.

My contacts:
Mobile: +255789884221
E-mail: meezy@youngmaster.co.tz
 
Nakushauri nenda BRELA au tembekea tovuti yao.
 
Nimejaribu kwenda google lakini nimeshindwa kuelewa mkuu ndio maana nimekuja hapa kuomba msaada wenu

kaz za ksheria hazfanyk bure ndg! Afteral wewe unaenda ktengeneza hela kwa nn wenzio wakfanyie bure? Shule yenyewe ya sheria ilvyo ngumu vle ntoe msaada bure dah! Chezea k2 Mgongo fimbo na Majamba.
 
Haya bwana, nashukuru.
 
Kwani nini maana ya kuomba msaada?
waksema legal aid(msaada wa ksheria) hawamansh free of charge..ni kosa la kimaadl ktoa msaada wa ksheria bure..labda uende TAWLA au NORA au pale UDSM school of law..muulze Tairo, huko ndo wanatoa bure kwa wasiojiweza.
 
Ok mkuu. nimekuelewa.
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom