MSAADA: Naomba kufahamishwa utatuzi wa tatizo hili

Kisusi Mohammed

JF-Expert Member
Aug 10, 2009
563
468
Habari za majukumu wakuu,

Nimekumbana na tatizo ambalo sjawahi kuliona kabla.

PC yangu inatoa message "YOU MAY BE A VICTIM OF SOFTWARE COUNTERFEITING, THIS COPY OF WINDOW DID NOT PASS GENUINE WINDOW VALIDATION" kila ninapoiwasha.

Naombeni msaada wa tatizo hili maana nimejaribu kila njia nimefeli!

NB: Mi si mzuri sana kwenye IT!
 
Kama ujumbe ulivyo ni kuwa huna valid licence ya window os unayotumia hivyo una mambo mawili kununua key online au computer shop pili ni kutumia mbinu za mkato ambapo ni kinyume cha sheria ila itaondoa tatizo. Unachotakiwa ni kusema unatumia window gani na utapewa maelezo humu humu
 
kwa kifupi ..UNATUMIA WINDOW FAKE!! Sasa ili kuifanya iwe genuine ni lazima upate either KEY halali za window unayotumia, au kutumia cracks...vypte hivyo vinapatikana free online..ujanja wako tu!!
 
Natumia window XP jamani, uwezo wa kununua hizo key sina, naomba ujanja wa kuzipata online.
 
Mkuu nimegonga hiyo link ikanijibu directly kuwa "not found" na picha ya panya ameanguka miguu juu! Napataje window 7 online mkuu, nimepigika mbaya!
 
itakuwa vema kama ukiinstall windows upya tu kuepuka kuhangaika. Tafuta iliyo valid
 

Similar Discussions

0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom