Msaada naomba kuelekezwa jinsi ya kutumia king'amuzi kwenye laptop na program gan inafaa.

Naombeni msaada kwa hilo..nawategemeeni wakuu

kuna kitu kinaitwa video card kifaa flan kidogo dogo unanunua then kina cd yenye setup utainstall setupa yake katika pc.

Hiko kifaa kina waya unaoingia kwenye laptop na ports ambazo waya wa king'amuzi utaingia

japo si mtaalamu sana ila i guess itakutoka hela nyengine kama ulonunulia king'amuzi kununua hio video card.
 
video cards zina uwezo anuai,dvb-s, dvb-s2 or mpeg2 na mpeg4 compatible.
 
Inabidi ununue kifaa kinachowezesha kuona signal za tv katika Laptop yako kinaitwa External TV Tune ambazo zipo za aina nyingi na zinapatikana katika maduka yanayouza computer na accessories zake. then utafuata maelekezo ya kuistall drivers/software ya kifaa hicho katika Laptop yako then utaunganisha kingamuzi chako na TV tuner hiyo kwa kutumia cable zilizotolewa.
 
Back
Top Bottom