Msaada: Namna ya kutuma salio kwa jamaa mtandao wa Airtel

Steve Dii

JF-Expert Member
Jun 25, 2007
6,402
1,254
Wakuu naomba maelekezo jinsi ya kutuma salio kwa jamaa mwenye Airtel kwa kutumia USSD code zinazoanza na * (star), kama ilivyo ya tiGo; yaani: *101*number*amount# {kisha send}.

Naomba maelekezo ya njia hii maana ile ya "Me2U" kwenye menu yao ambayo humalizia kwa kuweka pin inanizingua!!
Ahsanteni.
 
wanayo njia nyingine ya kutuma sms japokuwa nayo inahusisha pin. Account za airtel zipo secured sana sidhani kama unaweza kuhamisha salio bila pin. Tusubiri wataalamu.
 
Huwezi tuma salio airtel kwa njia ya nyota.(mf "zantel" *141*pesa*namba za simu#) bali njia mbadala ikiwa menu ya ME2U haipatikani kwenye simu yako tumia hii ya SMS. "2U(nafasi)NAMBA YA SIMU(nafasi)KIASI(nafasi)NENO LA SIRI tuma kwenda 432. MFANO [2U 0788000000 500 1234 send to 432]
 
Hiyo pin tunaipataje
 
Back
Top Bottom