Msaada namna ya kusearch topic ya nyuma

oxlade

JF-Expert Member
Jul 8, 2012
601
94
NAomba sana msaada wenu jamani ni vipi ninaweza kusearch nkapata topic ya nyuma maaana nahangaika natafuta IDM hapa yangu imekufa na nkipost kuomba upya watu wataniona mzinguaji maana najua post za hiyo kitu zipo nyingi humu, naomba msaada wa namna ya kusearch au mtu anipe link ya hiyo IDM,

NATANGULIZA SHUKRAN ZANGU
 
Mkuu, frankly siamini kama hujui kusearch. Ilhali searchbox unaiona, I doubt umeona uvivu kuzungusha macho. Nisamehe nakuandama, lakini it is the best way kupata a piece of mind. Lastly, kwa vile kuuliza si ujinga, whether unatumia opera mini, opera mobile, ama ucbrowser. Ni lazima neno search linaonekana, ama searchbox yenyewe ipo visible. Andika keywords tofauti tofauti, full ama short, kuna threads kadhaa tu humu. Mwisho kabisa, pole kwa mashambulizi, na asante kwa kusoma.
 
vitu vyote humu vipo google just search kutumia google.

Ili upate result za jamiiforums juu inabidi uinclude keyword ''jamiiforums''

Mfano unaweza andika neno ''idm jamiiforums'' utaona result ya topic za jamiiforum zinazohusu idm.
 
Mkuu, frankly siamini kama hujui kusearch. Ilhali searchbox unaiona, I doubt umeona uvivu kuzungusha macho. Nisamehe nakuandama, lakini it is the best way kupata a piece of mind. Lastly, kwa vile kuuliza si ujinga, whether unatumia opera mini, opera mobile, ama ucbrowser. Ni lazima neno search linaonekana, ama searchbox yenyewe ipo visible. Andika keywords tofauti tofauti, full ama short, kuna threads kadhaa tu humu. Mwisho kabisa, pole kwa mashambulizi, na asante kwa kusoma.

thx boc nimesearch na nimepata. Pamoja xana
 
Back
Top Bottom